Skip to main content

MCHANGANYIKO WA VITUNGUUU SWAUMU, APPLE CIDER VINEGAR NA ASALI UNATIBU MAGONJWA MENGI IKIWEMO KANSA.




Mchanganyiko   wa  vitunguu swaumu, apple  cider  vinegar  na  asali  ni mchanganyiko  unaotibu  magonjwa   na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya.
Mchanganyiko  huu  hutibu  magonjwa  mbalimbali  kama  vile  baridi yabisi, tatizo  la  miguu  kuwaka  moto, maambukizi  mbalimbali  pamoja  na  magonjwa  sugu  kama  vile  kansa, pumu, ugumba   kwa  wanawake  na  utasa  kwa  wanaume.


Mchanganyiko   huu  pia  ni  mzuri  sana  katika  kupandisha  na  kuimarisha  mfumo  wa  kinga  mwili  pamoja  na  kuondoa  kolestrol.
Baadhi  ya  tafiti  zilizo  fanyika  katika  miongo  kadhaa  iliyopita  zinaeleza  kuwa, mchanganyiko  wa  vitu  hivi  vitatu  vya  asilia  unasaidia  kutibu  aina  mbalimbali  za  saratani.
Wagonjwa  waliotumia  matibabu  haya  waliweza  kuonyesha  nafuu  kubwa  na  wengine  waliweza  kupona  kansa  kabisa.
Wagonjwa  walitumia  tiba  hii  asubuhi  na  mapema  kabla  ya  kuweka  kitu chochote  kile  tumboni.

Utafiti  huo  ulionyesha  pia   wagonjwa  waliokuwa  na   presha ya  juu walipata  nafuu  kubwa  sana   baada  ya  kutumia  tiba  hii. Tiba  ilithibitika  kushusha  presha  pamoja  na  kuounguza  kolestrol kwenye  damu.

Matokeo  ya  dawa  hii  huonekana  baada  ya  wiki  mbili  tangu  mgonjwa  aanze  kutumia  tiba  hii.

Kitu  kizuri  kuhusu  tiba  hii  ni  kwamba, malighafi  zinazo  tumika  kutengeneza  tiba  hii  zinapatikana  kwa  urahisi .

Malighafi  zinazo  tumika  kutengeneza  tiba  hii  zote  ni za  asili  kabisa  ambazo  mbali  na  kuponya  magonjwa  hayo  hapo  juu  lakini  pia  zina  faida  ndani  ya  mwili  wa  mwanadamu zenyewe  kama  zenyewe.
Mchanganyiko  huu  hauna  side  effect  yoyote  mbaya  kwa  mtumiaji  na  zinaweza  kutumika  salama  kabisa  hata  kama  hauzitumii  kwa  ajili  ya  kuponya  magonjwa  taja  juu  (  Unaweza  kuzitumia  kwa  ajili  ya  kuimarisha  kinga  ya  mwili  wako  )

Kama  unahtaji  kutumia  mchanganyiko  huu  kwa  ajili  ya  kuponya  kansa  au  ugonjwa  mwingine  wowote  ulio  tajwa  hapo  juu  au  kwa  ajili  ya  kuimarisha  kinga  ya  mwili  wako, unatakiwa  kufuata   maelekezo  yafuatayo :
  •  

MAHITAJI
·         Kikombe  kimoja  cha    apple  cider  vinegar
  • Kikombe  kimoja  cha  asali  mbichi.
  • Punje  kumi  za  vitunguu  swaumu
MATAYARISHO :
·         Weka   vitu  vyote  kwenye  blenda  na  uvisage  kwa  pamoha  hadi  vitakapo  changanyikana  kabisa.  (  Kwa  kawaida  zoezi  hili  huchukua  katika  ya  sekunde  sitini  hadi  tisini  )
·         Ipua  mchanganyiko  wako, weka  kwenye  jagi  na  uhifadhi  kwenye  friji.
·          



MCHANGANYIKO  HUU  UNAKUWA  BORA  SANA  KAMA  UTATUMIKA  NDANI  YA  SIKU  TANO  TANGU  UTENGENEZWE.  ZIKIPITA  SIKU  TANO, UNAWEZA  KUUTUMIA  LAKINI  HAUTAKUWA  NA  NGUVU  ZA  UPONYAJI  KAMA  UNGEUTUMIA  NDANI  YA  SIKU  TANO. KWA  HIYO  UNASHAURIWA  KUTUMIA  MCHANGANYIKO  WAKO  NDANI  YA  SIKU  TANO.
.
Jinsi   Ya  Kutumia:
Mchanganyiko  huu  unaweza  kutumika  kwa  namna  mbalimbali.  Unakuwa  recommended  kutumia  vijiko  viwili  vikubwa   mara  tu  baada  ya  kuamka, kabla  ya  kula  wala  kunywa  chochote
Hata  hivyo  kama  hautapenda  ladha  yake   unaweza  kuchanganya  na  maji  kikombe  kimoja  au  juisi  yoyote  uipendayo.
Hata  kama  uta  changanya  dawa  yako  na  maji  au  juisi, bado  ni  muhimu  sana  kuitumia  mara  tu  baada  ya  kuamka  kabla  haujala  wala  kunywa  kitu  chochote.
. Tiba  hii  inazidi  kuwa  maarufu  na  idadi  ya  watu  wanao  tumia  tiba  hii  duniani  inaongezeka  kwa  kasi  sana.

MAKALA  HAYA  YAMETAYARISHWA  NA  NEEMA  HERBALIST  BLOG  0766538384,

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...