Maziwa ya
nazi, mafuta ya nazi
pamoja na maji
ya madafu ni
bidhaa ama malighafi
zinazo tokana na mti wa
mnazi.
Bidhaa hizi
zina faida kubwa
sana katika afya
ya mwanadamu.
Huko nyuma
tumewahi kuandika kuhusu
maziwa ya nazi
pamoja na mafuta
ya nazi.
Katika makala
ya leo tutazungumza
kuhusu maji ya
madafu, ambapo tutapata kuzifahamu
faida kumi zitokanazo
na kunywa maji
ya madafu.
Maji ya
madafu ni maarufu
sana miongoni mwa
wenyeji wa mikoa
inayo patikana katika
ukanda wa pwani
ya Tanzania.
Pamoja na
kutumika kama kinywaji
kwa ajili ya
kuondoa kiu, maji ya
madafu yana faida
lukuki kwa afya
ya mwanadamu.
Siku ya
leo tutapata kuzitazama
faida kumi za
maji ya madafu.
1. Yanazuia
Upungufu wa Maji
Mwilini.
2. Yanaimarisha ubongo
na misuli
3. Maji ya
madafu yanasaidia kuzuia
muonekano wa kizee
(anti-aging ): Matumizi ya mara
kwa mara ya
maji ya madafu
yatakufanya uonekane na
kijana hata kama
umri wako umeenda.
Kuwa na uwezo
wa kuzuia muonekano
wa uzee ni
miongoni mwa sababu
zinazo yafanya maji
ya madafu yawe
maarufu sana miongoni
mwa wasanii wanao
igiza filamu katika
huko Hollywood nchini
Marekani.
.
4. Maji ya
madafu yanasaidia kuimarisha mfumo
wa usagaji chakula
tumboni.
5.Maji ya
madafu yanasaidia kuimarisha
mfumo wa kinga ya
mwili.
6. Maji ya
madafu yanasaidia kukukinga
dhidi ya magonjwa
ya moyo pamoja na
presha.
7. Maji
ya madafu yana
utajiri mkubwa sana
wa vitamin mbalimbali, amino acids,vimen’genyo, viondoa sumu
pamoja na virutubisho
mbalimbali.
8. Maji ya
madafu yana kiasi
kidogo cha kalori
.
9. Maji
ya madafu yanasaidia
kuunyambua mwili.
10. Maji ya
madafu yana
imarisha mzunguko wa
damu mwili.
UNANGOJA NINI? ANZA KUTUMIA MAJI YA MADAFU LEO UPATE FAIDA KIBAO ZA KIAFYA.
IMEANDALIWA NA NEEMA HERBALIST BLOG 0766538384.
Comments
Post a Comment