Skip to main content

MWANAMITINDO WETU.



                        

Jina  : Clara Wekwe.
Umri  : Miaka  28.
Anapoishi ; Jijini   Dar  Es  salaam.
Elimu  : Chuo  Kikuu.
Kazi  :  Mwanamitindo.
Anapenda  :  Kutazama  filamu, kusikiliza  muziki  wa  taratibu  na  Kusaidia  watoto  yatima.
Asichopenda  :   Majungu.

Ndoto  Zake  :  Kuwa  mfanyabiashara  mkubwa.



Kama  unataka  kufanya  kazi  ya  mitindo  na  mwanamitindo  huyu. wasiliana  nasi  kwa  simu  0766538384  au  tuandikie   barua  pepe  :  neemaherbalist@gmail.com

Na  kama  wewe  ni  mwanamitindo, unataka  kufanya  kazi  na  NEEMA  MODELLING  AGENCY, tutumie  picha  zako  na  details  zako  kwenda  : neemaherbalist@gmail.com

Comments