Nilikuwa napiga soga kidogo na
rafiki yangu aliyewahi kukaa Nchi za scandinavia na akanidondoshea hili:
Ukiwa maeneo kama Finland,Sweden etc wanawake wanapatikana free,akimaanisha kwamba ukitaka mwanamke wa kizungu kwa ajili ya ku enjoy naye usiku ni rahisi tu, jichanganye club, cheza vizuri na wafuate mabinti na baada ya hapo una possibility kubwa ya kupata mwanamke wa one night stand.Utapata ukitakacho usiku huo na kesho mnaweza msijuane tena unless umefanya shughuli ya maana au umemvutia binti. Ni vigumu sana kupata wanawake mitaa hiyo unless unajichanganya clubs, social events, shule kwa wanafunzi, bar etc.

1. Akanidokezea kuwa wanawake wa huko hasa kutoka familia zilizo average or above average hawapendi kabisa kuwa na mahusiano na waafrika. Ni mwiko na ni kama wanafundishwa vile. Akanidokeza pia kuwa wengi waliooa mitaa hiyo (kama wamekutana maeneo hayo), wake zao wanafanya kazi za kawaida kabisa wafanyakazi wa hotel,waosha vyombo, wafagiaji etc .
Wengi wa wake zao hawana kazi za daraja la kati au juu. Ni wachache ambao wameoa wanawake wenye elimu kubwa au kazi nzuri. Rare cases zinatokea kwa wale waliosoma shule wote.Sababu kubwa ya hili ni kwamba ni kama disgrace binti kutoka familia zilizo average or above kuolewa na Mwafrika.
2.Kwa wale wenzangu na mimi waliopata wanawake wa kizungu waliokuja bongo basi mara nyingi ndo wale reject kabisa, mfano reserved for African wanene, wenye umri mkubwa hawa wameangalia kalenda wakaona umri unawatupa mkono bila kuacha wajina), Actors katika mambo yasiyokubalika kwa jamii yetu strippers, wacheza picha za ngono, waliwa na farasi, waliwa na mbwa etc Na mara nyingi wanakuja kwa gear kama volunteers wa mashirika mbali mbali.
Akamalizia kwa kunipa lini : Mpaka leo kuna vijana wanahisi wanawake wa kizungu wote ni Lulu, kwamba ukimpata mzungu umeukata kimaisha, wanalipa au ni bora kuliko madada zetu wa kibongo. Hiyo utaijua tu ukishaoa na account yako ya benki unamkabidhi mkeo. Akanishauri kama nikikutana na binti wa kizungu hapa bongo na nimemkubali nifanye background check.
Wenye experience na maeneo haya au wazungu kwa ujumla, hebu tupeni uzoefu wenu, je namba 1 na 2 hapo juu zina ukweli wowote.
CREDIT : JAMII FORUMS
Comments
Post a Comment