Skip to main content

Arsene Wenger aanza jeuri





Arsene  Wenger

LONDON, ENGLAND.

ARSENAL  imecheza  soka  la  juu  ba  kuichapa  Manchester  City 2-0  nyumbani  kwao  kwenye  Ligi  Kuu  England  na  kupewa  sifa, lakini  Kocha  Arsene  Wenger  amesema  hiyo  ni  kawaida  tu.
Wenger  ameonyesha  jeuri  yake  kwa  kusema  kwamba, hakushangazwa  na  kiwango  cha  timu  yake  katika  mchezo  huo  kwa  sababu  timu  yake  katika  mchezo  huo kwa  sababu  timu  yake  imekuwa  ikifanya  hivyo  kwenye  mechi  nyingi  tu.





Mabao  ya  Santi  Carzola   na  Olivier  Giroud  yalitosha  kwa  Arsenal  kuibuka  na  pointi  zote  tatu  huku  wachezaji  wake  wakionyesha   nidhamu  kubwa  ya  kuwakabili mabingwa  hao  watetezi  kwenye  Ligi  Kuu  England.


Olivier  Giroud  akishangilia  baada  ya  kufunga  goli  la  pili  dhidi  ya  Man  City  kwenye  dimba  la  Etihad  Jumapili  iliyo pita.

“ Ona  tumefanya  hivi  mara  nyingi  tu, amini  ninacho  waambia “ alisema.
´Nadhani  imeonekana  kwa  saabu  kila  mtu  alitimiza  wajibu  wajibu  wake.   Ni  hivyo  tumekuwa   kwenye  ubora  huu  mara  nyingi  tu, lakini  kama  upo  ugenini  na  tayari umeshafungwa  2-0  baada  ya  dakika  20  ni  lazima  ufunguke  kwenda  mbele. Hapa  tumekuwa  wa  kwanza  kupata  bao na  hilo ndilo  lililo  badilisha  kila  kitu.
CREDIT : GAZETI  LA  MWANASPOTI.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...