Skip to main content

Tiba ya juisi inayo ongeza CD 4 kwa waathirika wa Ukimwi






Beetroot

  MAHITAJI :

i. Juicer,
ii. Kifaa cha kusagia matunda (Blender),
iii. karoti nne (kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kinga mwilini na kuongeza kiwango cha CD4 kutokana na viini lishe vya ‘beta carotene’).

iv. Robo ya kiazi kinachofahamika kama ‘beetroot’ (ili kuongezea nguvu maini na kuzuia uwezekano wa kuzalishwa vitu visivyohitajika mwilini kwani kiazi hicho kina kiini lishe kiitwacho ‘betane’).

v. Kipande cha tangawizi (kwani ina madini ya ‘selenium’ ambayo hupunguza kuongezeka kwa virusi mwilini. Pia huhamasisha kuzaliana kwa kinga zaidi mwilini).

vi. Kiasi kidogo cha binzari (turmeric- kwani ina madini ya curcumin yenye uwezo mkubwa wa kupambana na sumu na kuzuia kuongezeka kwa virusi. Binzari ni rafiki mkubwa wa maini).

vii. Kipande cha kitunguu chekundu (kina madini viini lishe maalumu –aquercetin- vinavyoongezea uwezo wa kuponya wa Vitamini C, mpambanaji muhimu wa virusi vya Ukimwi huku pia kikiwa na ‘allicins’ inayozuia kuwapo na magonjwa nyemelezi).

vii. Vipande vinne vya vitunguu swaumu (hivi huondoa sumu kwenye chembe hai zote mwilini. Ni silaha zenye nguvu za ‘allicins’, ‘selenium’ na chembe hai nyingine muhimu kupambana na virusi).

viii. Majani nane ya ‘spinach’ (Haya yana utajiri wa ‘chlorines’ ambayo huongeza kinga mwilini na kupambana na maradhi. Pia yana SOD au ‘Super Oxide Dismutase’, ‘sterols’ na ‘sterolins’. Madini haya huongeza CD8 pamoja na CD3).


MATAYARISHO  :
1. Vioshe vyema vitu hivi.
2. Osha mbogamboga vizuri kwa maji safi.
3. Weka mbogamboga hizo kwenye bakuli lisilopitisha hewa.
4. Tia maji safi ya kunywa hadi yafunike mbogamboga hizo.
5. Koroga na funika haraka kwa mfuniko thabiti.
6. Baada ya dakika tano ondoa kifuniko, toa maji na kamua mbogamboga kupata juisi yake.

JINSI YA KUTENGENEZA

1. Weka juisi hiyo kwenye ‘blender’ kisha ongeza:

a) Vijiko viwili vya unga wa karanga za Brazil. Karanga hizo zina asili ya utajiri mkubwa wa ‘selenium’ miongoni mwa vyakula vingi vikavu. ‘Selenium’

huzuia kuongezeka kwa virusi na husaidia kuponya mgonjwa. (Vyakula vingine vyenye ‘selenium’ ya kutosha ni mbegu za alizeti, samaki, maini na

nyama ya nguruwe (bacon). Hivi unaweza kuvila tofauti kwani haviwezi kusagwa pamoja na juisi)

b) Parachichi nusu.

2. Saga mara moja. Usitunze kwenye jokofu.

Nyongeza:

i. Kunywa juisi hiyo walau mara mbili kwa siku wakati tumbo likiwa halina kitu. Kadri ya kiwango utakachotumia ndivyo utakavyopata nafuu

ii. Kama inawezekana pia kunywa juisi halisi ya nanasi kila siku kusaidia tiba hiyo ya maji ya matunda (juice therapy). Nanasi lina madini ya ‘bromelain’ yenye uwezo mkubwa wa kupambana na virusi.

iii. Juisi ya tikiti nayo ni nzuri kwa mgonjwa wa Ukimwi. Hii ni kwa sababu matikiti yana virutubisho viitwavyo ‘glutathiones’ vinavyozuia kuongezeka kwa virusi.

3. Furahia maisha huku ukiusaidia mwili wako kupambana na wavamizi (virusi vya Ukimwi)!

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...