Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes
mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini
mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Tumeisha elezea
kwa urefu sana
kuhusu ugonjwa wa
kisukari katika makala
zetu zilizopita. Leo tutaelezea
matunda kumi bora
kwa mgonjwa wa
kisukari.
Kama wewe ni
mgonjwa wa kisukari, unashauriwa kuzingatia
ulaji wa matunda
yafuatayo :
Kiwi |
1.
TUFAA
au Ma APPLE
2.
CHERRIES
3.
JAMBULI
au JAMUNI
4.
MAPERA
5.
ZABIBU
6.
PARACHICHI
7.
STRAWBERRIES
8.
MACHUNGWA
9.
MAPEA
10. MAKIWI.
Kiwi |
Utumiaji wa
matunda haya, huleta nafuu
kubwa sana kwa
wagonjwa wa kisukari. Si
lazima utumie matunda
yote kwa pamoja. Unaweza kutumia
moja wapo kati
ya matunda tajwa
hapo juu ama
waweza kutumia yale
utakayo kuwa na
access nayo.
IMETAYARISHWA NA
NEEMA HERBALIST BLOG 0766538384
Comments
Post a Comment