Skip to main content

WAREMBO WASHINDANA KUONYESHA MIGUU.




Hili  ni  shindano  maalumu  la  kuonyesha miguu. 
Jina  la  shindano  hili  ni   "ONYESHA  MIGUU  YAKO" na  kauli  mbiu  ya  shindano  hili  ni  " JITUTUDE" yaani  " JIONYESHE  TUKUONE  TUKUPE  DEALS "

Washindi  ishirini  bora  watakao  pigiwa  kura  watapata  zawadi  mbalimbali  ikiwa  ni  pamoja  na  kupewa  deals  za  kufanya  kazi  na  kampuni na  taasisi   mbalimbali.  Utaratibu  wa  kupiga  kura  na  vigezo  vitakavyo  tumika  kuwapata washindi  pamoja  na  majina, namba  za  ushiriki  na  maelezo  binafsi  ya  washiriki  vitatolewa hapo  baadaye. Kama  wewe   ni  mdada wa  kitanzania, na  unataka  kushiriki  katika  shindano  hili, tutumie  picha  zako, maelezo binafsi, Cv yako, contacts  zako, wilaya  unayo ishi, hobbies  zako, interest zako na  ambition  zako. Tutumie  kwenda  : neemaherbalist@gmail.com.



SHINDANO  LIPO  WAZI  KWA  WASHIRIKI  KUTOKA NCHI  NZIMA. WATANZANIA  WANAO  ISHI  NJE YA  NCHI  MNAKARIBISHWA  PIA. 





PART  TWO  ITAKUJIA  HIVI  PUNDE..ENDELEA  KUTEMBELEA :NEEMA  HERBALIST  BLOG  KILA  SIKU  UPATE  KUJUA  KITAKACHO  ENDELEA  KATIKA  SHINDANO  HILI.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...