Skip to main content

THAMANI YA POGBA NI EURO SIFURI




ETI  POGBA  ANADAI  THAMANI  YAKE IMESHUKA.
TURIN, ITALIA




KIUNGO  Paul  Pogba  ametoa  kali baada  ya  kudai  kwamba  anadhani  thamani  yake  kwa  sasa  ni Euro  sifuri  kwa  sababu  bado  hajafanya  chochote  cha  maana   kwenye  mchezo  wa  soka.
Staa  huyo  wa  Ufaransa  juzi  Jumapili  alionyesha  kiwango  cha  hali  ya  juu  wakati  Juventus  ilipoichapa  Hellas  Verona  mabao  4-0, ambapo  naye  alifunga.
Wakala  wake  mapema  wiki  hii  alisema  kwamba  mchezaji  huyo  anapaswa  kuhama  hivi  karibuni  kwa  sababu  ndicho  kipindi ambacho  yupo  kwenye  ubora  wake  jambo  ambalo  Pogba  mwenyewe  halioni  kama  ni  kweli  kwa  sababu  hana  alichokifanya  kwenye  soka.
Staa  huyo  wa  zamani  wa  Manchester  United  alisema  thamani  yake  ipo  chini  hadi  atakapo  pandisha  kiwango cha  soka  lake  na  kufanya  mambo  ya  maana.
“ Thamani  yangu  ni  Pauni  0.Sina thamani  labda  kama  ntabadili  kiwango  change  cha  kucheza  soka  la  hali  ya  juu “ alisema  na  kuongeza.
“Ndoto zangu  ni  kutwaa  tuzo  ya  Ballon d’Or  hapo  baadaye, lakini  hilo  ni  lazima  nilifanyie  kazi  sana. Nataka  kuwa  kama  Andrea  Pirlo.

CREDIT : GAZETI  LA  MWANASPOTI

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...