Ini ni miongoni mwa ogani muhimu katika
mwili wa binadamu. Pia ini ni mojawapo ya viungo vinavyohusika katika kutoa uchafu.
Ini hutumika pia katika uhifadhi wa chakula katika mwili wa binadamu. Chakula
kinapofonjwa kuingia mwilini katika utumbo mwembamba huelekea kwanza katika
ini. Ini husafisha sumu katika mwili. Kunapokuwa na uongezeko la chakula cha
protini, ni jukumu la ini kurekebisha. Uchafu unaotolewa na ini huingizwa
katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na hutolewa pamoja na kinyesi.
Jinsi Ya
Kusafisha Ini
Mahitaji
i.
Juisi ya
limao kijiko kimoja
kikubwa
ii.
Mafuta ya
mzaituni kijiko kimoja
kikubwa.
MATAYARISHO :
Changanya
kijiko kimoja kikubwa
cha juisi ya
limao na kijiko
kimoja cha mafuta
ya mzeituni.
MATUMIZI : Tumia
dawa yako mara
moja kwa siku
kila siku asubuhi
kabla haujala wala
kunywa kitu chochote
kile. Unaweza kuwa unafanya
hivyo kila siku. ( Hakuna limitation
ya muda wa
kutumia tiba hii, unaweza
kuifanya kuwa sehemu
ya maisha yako
). Baada ya
kutumia tiba hii
unaweza kupata kifungua
kinywa.
MABADILIKO:
Utaanza kuona mabadiliko
ama matokeo ya
tiba hii ndani
ya mwezi ya
kipindi cha mwezi
mmoja tangu uanze
kutumia tiba yako.
FAIDA ZA
TIBA HII :
Mbali ya
kufanya kazi ya
kusafisha ini ambayo
ni muhimu sana
katika mwili wa
mwanadamu, tiba hii
ina faida nyingine lukuki katika
mwili wako. Utapata kuona
faida za tiba
hii kadri utakavyo
kuwa unaendelea kuitumia.
Faida hizo ni
kama ifuatavyo :
i.
Utapata muonekano
mzuri wenye afya
njema.
ii.
Kama
una tatizo la
kuwa na madoa
doa meusi chini
ya macho yako, litaondoka mara
moja.
iii.
Afya
ya ngozi yako
itaimarika
iv.
Utakuwa na
utazidi kuwa na
muonekano wa ujana.
v.
Kama
ulikuwa una tatizo
la kukosa choo, bas
lita isha na kukoma
mara moja.
UNA
NGOJA NINI? ANZA LEO
KUTUMIA TIBA HII, UPATE
KUZIONA FAIDA ZAKE.
IMETAYARISHWA NA
NEEMA HERBALIST BLOG
0766538384.
Comments
Post a Comment