Skip to main content

WATU KUMI WALIO FANIKIWA KUPUNGUZA UZITO MWAKA 2014 NA KUISHANGAZA DUNIA.






Kupunguza  mwili  ni  jambo  linalo  wakabili  watu  wengi  duniani. Pamoja  na  kwamba  sio  rahisi  kupunguza  mwili  lakini  kama  utazingatia  masharti  yote  basi  unaweza  kupungua  kwa  kiwango  unacho  kitaka  wewe.
Mwaka  2014  shirika  moja  linalo  jihusisha  na  kupambana  na  unene   miongoni  mwa  Wamarekani  wenye  asili  ya  Afrika, lilifanya  utafiti  wake   nchini  humo  na  kutoka  na  taarifa  kuwahusu  watu  walio  fanikiwa  kupambana  na  unene  na  hatimaye   kufikia   malengo   yao.
Hawa  ni  watu  kumi  miongoni  mwa  watu  walio  jitokeza  katika  utafiti  wao.

 
Monique

1.   The Lovely Ms. Monique
Monique  alifanikiwa  kupunguza   uzito  kiasi  cha 37.1946  kgs.  Kabla  ya  kuanza  kufanya  mazoezi  ya  kupunguza  mwili, Monique  alikuwa  na  uzito  wa  136.078  kgs.  Bado  anapambana   mwaka  huu  ili  kupunguza  kilo  nyingi  zaidi.

 
Jill  Scott
2.   Jill “Jilly From Philly” Scott
Jill  Scott  amefanikiwa  kupunguza  uzito  kiasi  cha  28.5763 kgs.  Anasema  amefanikiwa  kupunguza  kiasi  hicho  cha    uzito  baada  ya   kuanza  kuishi  maisha  yenye  kuzingatia  afya  njema  kwa  kula  vizuri  na  kufanya  mazoezi.  Anasema  alianza  kuishi   ‘healthier  life style’ baada  ya  kumzaa  mtoto wake  wa  kwanza  wa  kiume  aitwaye  Jett.
Unene  ulikuwa  unaniweka  katika  hatari  ya  kupatwa  na  magonjwa  makubwa  kama  vile  moyo, presha  n.k  ambayo  yange uweka  uhai  wangu  katika  mashaka  makubwa.  Sikutaka  kuendelea  kuishi  katika  mtindo  wa  maisha  ambao  ungenifanya  nimuache  mtoto  wangu  akiwa  bado  mdogo, so  nikaamua  kubadili  mtindo  wangu  wa  maisha  na  hatimaye  nikafanikiwa  kupunguza  kiasi  hicho cha  uzito.
Jill  Scott  bado  anaendelea   kufanya  mazoezi  na  diet  kwa  lengo  la  kupunguza  uzito zaidi.
 
Tane

3.   Tane “IG: @carmelhoneyb”
Mwanadada  Tane  kutoka  INSTAGRAM    kupunguza  kilo 34.0194  ndani  ya  miezi  saba ambao  ni  wastani  wa  zaidi  ya  kilo  nne  kwa mwezi.
 
Marcee  Hill
4.   Marcee Hill “IG:@marcee.hil3″
Marcee  amefanikiwa  kupunguza  kilo  29.0299   na  amekuwa  na  muonekano  mzuri  sasa, tofauti  na  ilivyo  kuwa  hapo  zamani.

Kiauntra

5.   Kiauntra
Kiauntra   amefanikiwa  kupunguza  kilo 20.8652 . Amebadilisha  mtindo  wake  wa  kula na anafanya  mazoezi.

 
Jessica
6.   Jessica
Huyu  ni  mtangazaji  wa  kituo  cha  televisheni  cha  Norfolk, kilichopo  katika  jimbo  la Virginia, nchini  Marekani. Amefanikiwa  kupunguza  uzito  wa  kilo 39.9161.
 
Kimberly
7.   Kimberly “IG: @iwokeupskinny”
Mwanadada   Kimberly  ambaye  kwenye  mtandao  wa   (Instagram:  anapatikana  kwa  jina  @iwokeupskinny)  amefanikiwa  kupunguza  uzito  wake, kiasi  cha  kilo 36.2874. Kimberley  amepungua  kutoka  size  18  hadi  size  6.

 
Devin  na  Toni
8.   Devin  wa  Toni wa BeachBody Works
Toni Gordon  na   Devin Kellybrew  walikuwa  wakifanya  mazoezi  ya  kupunguza  uzito  kwa  pamoja. Toni  alifanikiwa  kupunguza  uzito  wa  kilo   47.1736   ilhali  Devin  alifanikiwa  kupunguza  uzito  wa  kilo 53.5239
Brianna

9.   Brianna “IG: @carbsdontkillmyvibe”
Brianna  wa  Instagram  amefanikiwa  kupunguza  kilo 23.5868.  Alianza  kufanya  mazoezi  na  diet  ya  kupunguza  mwili  baada  ya  kuachana  na  boyfriend  wake  na  kuhitimu Masters  Degree. Akaamua  kuanza  kufanya  diet  na  mazoezi   ili  kujiepusha  na  kuongezeka  uzito zaidi.  Sasa  anajisikia  vizuri  na  ana  muonekano  maridadi pia.
 
Marnita
10.                     Marnita
Marnita   amefanikiwa  kupunguza  kilo  74. Ana  miaka  52, ana  watoto  watatu  wa  kike  na wajukuu  sita  (wote  wa kiume).

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA HERBALIST  BLOG.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...