MAHITAJI :
1.Fungu moja
la kotimiri.
2.Limao moja
3.Kikombe kimoja
cha maji ya
moto.
MATAYARISHO :
Kotimiri ni kiungo cha vyakula jikoni inafanana na mchicha na
huweza kuliwa
hata ikiwa mbichi. Wakati mwingine huweza
hutumika kama kitu cha kupambia
sahani za vyakula hasa mahotelini.
|
Saga fungu
lako la kotimiri, changanya na
glasi moja ya
juisi ya limao, kasha ongeza
kikombe kimoja cha
maji ya moto. Koroga
na hifadhi mchanganyiko
wako.
MATUMIZI :
Kunywa glasi
moja ya juisi
yako asubuhi na
mapema kabla haujala
wala kunywa kitu
chochote kile. Utafanya hivyo
mpaka utakapo ridhika
na kiwango cha
uzito ulicho punguza.
IMETAYARISHWA NA
NEEMA HERBALIST BLOG
0766538384.
Comments
Post a Comment