Skip to main content

HUYU NDIO WORLD CLASS MIDFIELDER ALIYE MBIONI KUJIUNGA NA ARSENAL KWENYE DIRISHA DOGO LA USAJILI , JANUARI 2015


Moussa  Sissoko


Kwa  mujibu  wa  ripoti  kutoka  Ufaransa, inadaiwa kuwa  wawakilishi  wa  kiungo  wa  Newcastle, Moussa  Sissoko  wamefanya  mazungumzo na  Arsenal  kuhusu  uhamisho  wa  dirisha  la  Januari.
Sissoko  amekiri  kwamba, angependa   kuichezea  Arsenal  kwa  sababu  ni  timu  ya  moyoni  mwake, lakini  Arsenal  watalazimika  kutoa  dau  la  Pauni  25  milioni  kwa  staa  huyo  wa  kimataifa  wa  Ufaransa.

CREDIT :  GAZETI  LA  MWANASPOTI.

Comments