Skip to main content

HII NDIO LISHE YA AJABU, AMBAYO ITA KUEPUSHA NA KANSA PAMOJA NA MAGONJWA ZAIDI YA MIA MOJA NA MOJA ( 101)






Muunganiko  huu  wa  ajabu  una  weza  kuponya  mwili mzima. Unaimarisha mfumo  wa  kinga  ya  mwili, unasafisha  mfumo  wa  upumuaji, unaponya  magonjwa  ya  moyo pamoja  na  magonjwa  yahusianayo  na  moyo,unasafisha  ini, figo  na  mapafu, unapunguza  uwezekano  wa  kupata  shambulio  la  moyo.
Mchanganyiko  huu  pia  unaimarisha  kumbukumbu  na  afya  ya  ubongo.

MAHITAJI .
i.                  Asali   lita  moja.
ii.              Malimao  kumi  na  tano.
iii.           Punje  ishirini  za  vitunguu  swaumu.
iv.            Gramu  400 ya  njugu.
v.               Gramu  400  ya  ngano. (mbegu)

MAANDALIZI.
i.                  Saga   ngano yako  hadi  iwe  ungaunga.
ii.              Saga  njugu  pamoja  na vitungu  swaumu  na  baada  ya  hapo
iii.           Ongeza  malimao matano  pamoja  na  maganda  yake  kisha
iv.            Ongeza  juisi  ya  malimao  kumi  kwenye  mchanganyiko  wako.
v.               Ongeza  asali  kwenye  mchanganyiko  wako  na  kuroga  vizuri  kisha  chukua  mchanganyiko  na uweke  kwenye  chombo  kisafi  kisha  hifadhi  kwenye  friji.  UTAANZA  KUUTUMIA  MCHANGANYIKO  WAKO  BAADA  YA  SIKU  TATU.
MATUMIZI :
Tumia  kijiko  kimoja  au  viwili  vikubwa, nusu  saa  kabla  ya  kifungua  kinywa, chakula cha  mchana, cha  usiku, na  kabla kwenda  kulala. Hii  ina  maana kuwa  utakuwa  unatumia  vijiko  vikubwa  vinne au  vinane  kwa  siku.
Utafanya  hivyo  hadi  mchanganyiko  wako  utakapo malizika. Baada  ya  mchanganyiko wako  kumalizika, unaweza  kutengeneza  mchanganyiko  mwingine.

N.B:Kama  unasumbuliwa  na   ugonjwa  wowote, unashauriwa  kwenda  kucheki  afya  yako  baada  ya  kumaliza  mchanganyiko  huu.

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST. 
SIMU : 0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...