Kisukari ni
ugonjwa unao wasumbua
mamilioni ya watu
duniani. Hapa kwetu Tanzania, kisukari kinatajwa
kama miongoni mwa magonjwa
hatari kabisa yanayo
wasumbua watu wengi.
Kitu
kibaya kuhusu kisukari
ni kwamba, unaweza ukachelewa
sana kujua kama tayari
una kisukari.
Miaka ya nyuma
ilizoeleka ni watu
wanene tu ndio walio
dhaniwa kuwa na
kisukari,lakini siku za hivi
karibuni hata watu
wembamba nao wana
visukari.
Ili
kujilinda na kisukari
unatakiwa uwe makini
sana katika ulaji
wako. Wewe unaye
soma makala haya
unaweza kuwa na
kisukari ama unaweza
kuwa hatarini kupata kisukari
ingawa hujui.
Kujilinda na
kisukari unatakiwa ufanye
namna zote zinazo wezekana katika kujiepusha na janga
hilo baya. Miongoni mwa
njia zinazo weza kukuepusha
na ugonjwa wa sukari
ni tiba –chakula ya MDALASINI & KARAFUU.
MAHITAJI :
i.
Mdalasini
stiki
2
ii.
Karafuu
Gramu
thelathini (30g)
iii.
Lita tano
ya maji.
MATAYARISHO :
Changanya vitu hivyo
nilivyo vitaja hapo
juu, vihifadhi kwenye chombo
kasha weka kwenye friji
kwa muda wa
siku nne.
MATUMIZI :
Baada
ya siku nne
mchanganyiko wako utakuwa
tayari kwa matumizi
ya dawa. Tumia glasi mbili
za dawa yako
kutwa mara tatu. Utafanya hivyo
mpaka dawa yako
itakapo isha.Dawa itakapo
isha unaweza kutengeneza
nyingine . Baada ya siku thelathini
za kutumia dawa
yako,unaweza kwenda katika
hospitali yoyote kwa
ajili ya kupima sukari.
IMETAYARISHWA NA
NEEMA HERBALIST, 0766538384.
Comments
Post a Comment