Enzi za mabibi na mababu zetu, wanawake walipokuwa wakipelekwa UNYAGONI, moja kati ya mambo waliyo kuwa wakifundishwa ni pamoja na jinsi ya kuandaa na kutayarisha vyakula maalumu kwa ajili ya kuwaongezea waume zao stamina na msisimko wa tendo la ndoa. Hii ndio sababu hapo zamani, mtu alikuwa akipata mke, watu walisema " Fulani amepata Jiko" . Mke aliitwa " Jiko" kwa sababu Jikoni ndiko ambapo " Uhai wa ndoa" Ulipikwa. Na hii ndio sababu hasa ilitufanya tuiite dawa yetu ya asili inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume jina " Jiko". Siku hizi elimu ya mapishi ya vyakula maalumu kwa ajili ya kuimarisha stamina na msisimko wa nguvu za kiume haitolewi tena kama zamani. Ndio maana Sisi kama Neema Herbalist huwa tunawapa elimu hiyo wateja wetu wa dawa ya jiko. Mbali na kuwapa dawa yetu ya asili iitwayo " Jiko" pamoja na UJI wake maalumu ujilikanao kama " UJI -DUME", lakini pia sisi tunawa...
Habari zenu wapendwa wateja wetu ambao mmekuwa mkitusapoti kwa miaka kumi na nne sasa. Neema Herbalist & Nutritional Food Services tunapenda kuwataarifu kwamba, sasa huduma ya wapishi wa vyakula maalumu ( Special Diet) kwa watu wenye mahitaji maalumu ya kiafya inapatikana tena. Kama ilivyo siku zote, wapishi tulio nao wanaweza kupika vyakula maalumu vya aina zifuatazo: 1. Lishe maalumu kwa watu wenye shida ya vidonda vya tumbo. 2. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la presha na kisukari. 3. Lishe maalumu kwa watu walio kinda sana na ambao wanataka kunenepa( Kurejesha afya zao) 4. Lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. 5. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la kiriba tumbo( kitambi) na uzito ulio pitiliza ambao wanataka kuondokana na tatizo la kitambi pamoja na kupunguza uzito. Utaratibu wetu ni ule ule, mpishi ana toa huduma hii ya upishi eidha ofisini kwako ama nyumbani kwako. Kama unah...