Skip to main content

Posts

Showing posts from 2011

HABARI NJEMA SANA KWA WANAWAKE NA WANAUME WENYE MATUMBO MAKUBWA ( VITAMBI )

                                 DAWA  YA  KUKATA  TUMBO Utafiti  wetu  umegundua  kwamba  kuna  idadi  kubwa  sana  ya  wanawake  na  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kuwa  na  matumbo  makubwa  kiasi  sababu  kuu ikiwa  ni  ulaji  wa  vyakula  vyenye  mafuta  kupita  kiasi  pamoja  na  sababu  nyinginezo  kama  vile  sababu  za  kigenetic  na  magonjwa  ya  kurithi. Tunayo  dawa  safi  ya  asili  itakayo  kata  tumbo  lako  ndani  ya  siku   KUMI  NA  NNE  tu. Dawa  yetu  ni  ya  asili, haijac...

CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO...

Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida...Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho..Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ." Mwanaume  utakuwa  wewe!" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  ...

KWA WATEJA WETU WALIO NJE YA TANZANIA.

Tunapenda  kuwafahamisha   wateja  wetu  walioko  nje  ya  Tanzania  hasa  wale walio  nje  ya  Afrika kuwa tunaweza  kuwatumia   dawa  zetu kwa  njia  ya  DHL au  njia  ya  posta...Kwa  wiki hii  nzima  tumekuwa tukipokea  simu  kutoka  kwa   watanzania  waliopo  nje  ya  Afrika  ambao  wanahitaji  sana  kupata  huduma  yetu.  Wengi  wanaulizia  namna  wanavyoweza  kuzipata  dawa  zetu.. Nusu  yao  tumeshawatumia  tayari  kwa  njia  zilizo  tajwa  hapo  juu, na  kwa  wale  ambao  wanataka  kujua  njia  tunazo tumia  kuwafikishia  huduma  zetu  hukohuko  walipo  ni  kama  tulivyo  onyesha  hapo  juu.  Kwa  maelezo...

DAWA SAFI YA CHUNUSI

Chunusi husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia. Product kama Tea Tree Oil, Aloe Vera, Zinc, and Vitamin A ni vitu vya kihalisi vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri. Kabla ya kuoga ponda nyanya changanya na asali na maji ya roses na paka nyanya kwenye uso wako kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kabla ya kuosha. Pia jambo la muhumu kwa mtu anayesumbuliwa na chunusi ni kunywa maji kwa angalau lita 3 kila siku pia ni muhimu sana kwa ngozi yako, matunda fresh na mboga za majani kwenye diet yako. Vitu unavyotakiwa kuepuka ni kugusa uso wako mara kwa mara, epusha nywele kugusa uso wako na kutumbua chunusi kiholela. Pia epuka kupaka make up nyingi usoni ni vizuri kutopaka make up kabisa u...

CHANZO CHA HARUFU MBAYA YA KINYWA.

Kuna  idadi  kubwa  sana  ya  watu  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa.  Hakuna  ugonjwa  unao  aibisha  na  kutweza  kama  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa. NINI  CHANZO  CHA  HARUFU  MBAYA  YA  KINYWA?  1. Harufu  mbaya  ya  kinywa  husababishwa  na  aina  ya  bacteria  anayeishi  kwenye  tishu  ndogo kwenye sehemu  ya  mgongo  wa  kinywa ( Hususani  kwenye  sehemu  ya  nyuma  ya  ulimi ). Bacteria  huyu  ndiye  husababisha   harufu  mbaya  ya  kinywa. Bacteria  huyu  anapozaliana  na  kukomaa  hutoa  gesi  inayoitwa "Putrid  sulfur  gas" ambayo  ndio husababisha...

" ASHKHI" KIMBILIO LA AKINA MAMA WENYE TATIZO LA KUTOFIKA KILELENI.

Wanawake  wengi  nchini  na  duniani  kwa  ujumla  wanasumbuliwa  na  tatizo  la kukosa  hamu  ya  kufanya  tendo  la  ndoa  ( LACK  OF  LIBIDO ) pamoja  na  tatizo  la  kutofika  kileleni.  Sababu  zinazo  changia  tatizo  hili  zimegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili :  (  A  )  Sababu  za  Kisaikolojia { Psychological )  na  (  B  )  Sababu  za  Kimwili  {  Physical  } A.  SABABU  ZA    KIMWILI  "  PHYSICAL" 1.  Anaemia  (   ugonjwa  huu  ni  very  common  kwa  wanawake  kwa  sababu  ya  kupoteza  madini   ya  chuma  wakati  wa   hedhi  ) 2. Ulevi  Kupita  kiasi  (...

DAWA YA KUONGEZA ASHKI YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE.

Wanawake  wengi  hawafurahii   ndoa  zao  kwa  sababu   hawana  askhi  ya  kufanya  tendo  la  ndoa. Wengine  wamepatwa  na  tatizo hilo  ukubwani, wengine  wapo  na  tatizo  hilo  tanfu  utotoni.Halii  hii  imewatesa  wanawake  wengi  na  kuwafanya  wengine  kufikia  hata  kujaribu  kujamiiana  kwa  njia  zisizo  stahili  ili  kupata  " sexual  satisfaction ".  Neema  Herbalist &  Nutritional Foods  Clinic   tunayo  dawa  safi  na  ya  asili  itakayo  maliza  tatizo  lako.  Wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0767010756  au  0787010756  au  fika   ofisini  kwetu  Changanyikeni  karibu  na   Chuo  Cha...

CHANZO NA TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME

Wanaume    wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  uungufu  wa  nguvu  za  kiume, hali  inayo  afanya  washindwe   kufurahia  tendo  la  ndoa  na  wenzi  wao  wa  kike. Hizi  ni  baadhi  ya  sababu  zinazo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume. 1. Msongo  wa  akili. 2. Ulevi  kupita  kiasi. 3.Kupooza  kwa  mwili 4. Presha  na  ugonjwa  wa  kisukari. 5.Wasiwasi  wa  kutekeleza   tendo  la  ndoa 6. Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa. 7.Uzoefu  wa  kukatisha  tamaa  wa  siku  za  nyumaa 8. Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa. TIBA  (  HUWEZA  KUWASAIDIA  HATA  WAN...

UNASUMBULIWA NA VIPELE VYA NDEVU? DAWA HII HAPA!

Wanaume  wengi  wa  kitanzania, wanasumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  vipele  vya  ndevu  mara  baada  ya   kunyoa  ndevu  zao.  Hali  hii  huwafanya  wanaume  hawa  kupoteza  umaridadi  wao. Kama  wewe  ni  kijana  wa  kiume  na  una  tatizo  hilo   wasiliana  nasi  kwa  simu  namba   0767010756  au  0787 010756  tukupatie  dawa  ya  kienyeji  isiyo  na  side  effects  ambayo  itakuwa  ndio  suluhisho  la  tatizo  lako.  Karibu  Sana

Habari njema kwa watu wote wenye tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye kikwapa, kinywani na sehemu za Siri.

Neema  Herbalist  and   Nutritional   Foods  Clinic, tunazo  dawa  safi za  asili  zinazo  tibu  magonjwa  yaliyo  tajwa  hapo  juu.  Kwa  tiba, wasiliana  nasi  kwa  simu  nambari   0767010756  au   0787010756  au fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la  Changanyikeni  jijini  Dar  es  salaam.