Skip to main content

Posts

Showing posts from 2012

TIBA ASILIA YA TATIZO LA UVIMBE WA TUMBONI KWA WANAWAKE ( FIBROID )

Tatizo la  uvimbe  wa  tumboni  kwa  wanawake  " Fibroid " linawasumbua  wanawake wengi nchini.  Tatizo  hili  lina  madhara  makubwa  sana  kwa  wanawake  na  wakati  mwingine  linaweza  kusababisha  muhusika  kuondolewa  kizazi . Mara  nyingi  tatizo  la  fibroid  huondolewa  kwa   operesheni. Hata  hivyo  wapo  wanawake   wengi  tu  ambao  wamepona  tatizo la  fibroid   bila  kufanya  operesheni  eidha  kwa  maombi  kanisani   ama  kwa  kutumia  dawa  za  asili . Neema  Herbalist  tunayo  dawa  ambayo inasaidia  kuondoa  tatizo  la  uvimbe  wa  tumboni  "  fibroid ". Ni  dawa  ya  asili  ambayo  haijachanganywa  na  kemi...

JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA MAJI YA MOTO

Glasi  ya  maji  ya  moto. Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  magonjwa  yanayo weza  kutibiwa  kwa  maji  ya  moto. - pumu= asthma - shinikizo la damu= hbp - migraine / kichwa= migraine/ headache - ugonjwa wa sukari= diabetes - upungufu wa damu= anemia - maumivu nyuma= back pain - mawe katika figo= urinary calculus - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection - cholesterol= cholesterol - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis - kiharusi =stroke - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue - tonsili =tonsillitis - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus) - mafua/homa =colds, flu & fever - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep) - kichome kwenye roho= heartburn - kidonda tumboni =stomach ulcer - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation - kutetem...

TATIZO LA UKOSEFU/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME : Chanzo, Athari & Suluhisho Lake.

Wanaume  wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume, hii  ni  kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu. Hapa  kwetu  hususani  katika  maeneo  ya  mijini, katika  kila wanaume  kumi  wanao  tembelea  barabarani angalau  watatu  kati  yao wanakabiliwa  na  tatizo  la  upungufu/ ukosefu  wa  nguvu za  kiume, wamewahi  kukabiliwa  na  tatizo  hilo  ama hawana  uhakika  kama wanazo  nguvu  za  kiume  za  kutosha.   Tunazo  shuhuda  nyingi  sana  za  watu wanao  sumbuliwa  na  tatizo la  nguvu  za  kiume  ambao  wanakuja  kupata  tiba  na  ushauri  kituoni  kwetu  lakini  kwa  sa...

Kolesteroli na namna iwezavyo kudhibitiwa bila dawa:

Karibu nusu ya watu wazima nchini Marekani wanatatizwa na kolesteroli. Kwa kusikia tu sentensi ‘’Una kolesteroli iliyozidi’’ toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu yeyote kuingiwa na hofu. Hata hivyo, linapokuja suala la kuishi, kila mmoja angependa kuishi maisha marefu na yenye furaha na hivyo kolesteroli inaweza kuwa kizingiti kwa hilo. Kolesteroli au helemu ni nini? Ni dhahiri na rahisi kabisa, ni kama nta laini ambayo huelea katika damu na katika seli zako zote za mwili muda wote.  Kwa baadhi ya watu kolesteroli ina mwelekeo wa kujilundika kwenye ateri karibu na moyo au shingoni. Ikiwa mkusanyiko huu wa kolesteroli unaendelea kuwa mwingi kiasi cha kuanza kuzifunga ateri, huweza kusababisha mishtuko au shambulio la moyo (heart attack). Ukweli ni kuwa kolesteroli si mojawapo ya vitu ambavyo watu hupenda kujichunguza. Isitoshe mwili unaitengeneza kila siku ili kwamba unaweza kufurahi kuwa mzima. Ubongo umetengenezwa kwa kolesteroli, homoni zako zimetengenezwa kwa kolestero...

NEW SLIMMING HERBAL PRODUCT IS ON STORE NOW.

DAWA  MPYA  YA  ASILI   YA  KUKATA  KITAMBI    "  THE  NEW   SLIMMING  HERBAL   PRODUCT " Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic   ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asilia.  Tunapenda  kuwatangazia  wateja  weta  wetu   wapendwa  sasa  tunayo   dawa  mpya  safi  na  ya  asili  ya  kukata  kitambi.  Ni  dawa  ya  asili  kabisa " pure  herbal "   isiyokuwa  na  " side  effect" . Imesindikwa  kwa  asali  na  mafuta  ya  nyonyo  meupe  " castle oil " ..  Haijachanganywa  na  kemikali  yoyote  na  inaondoa  kabisa  tatizo  la  kitambi  ndani  ya  siku  ishirini  na...

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.

Tunda  la  Ukwaju. Tunda  la ukwaju  ni  tunda  lenye  faida  nyingi  sana  kwa  afya  ya  mwanadamu. Tunda  hili  huweza  kutumika  kutengeneza  juisi  ambayo  matumizi  yake   yana  faida  kubwa  sana  katika  afya  ya  mwili  wa  mwanadamu. Juisi  ya  Ukwaju.                     NAMNA  YA  KUTENGENEZA  JUISI  YA  UKWAJU. Nunua  ukwaju  wako, ukwaju  unapatikana  kwa  wingi  sana  masokoni  na kwenye  supermarkets andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu  baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni  uache uchemke  kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu  ipua ukwaju wa...

MAZOEZI NA KISUKARI

MAKALA  HII  NI  MAALUMU  KWA  WANAO  SUMBULIWA  NA   TATIZO  LA  KISUKARI. Kwa vyovyote vile utakuwa umewahi kuusikia au hata kupata uzoefu kuhusu ugonjwa wa kisukari. Eidha kwa kuwa na ndugu, rafiki wa karibu au wewe mwenyewe kuwa mwathirika wa tatizo hili. Tatizo la kisukari linaongezeka siku hadi siku, hususani kutokana na kuongezeka kwa tatizo la unene. Sababu kubwa si ngumu kuifahamu, ni ulaji wa chakula unaozidi mahitaji ya miili yetu. Kwa lugha rahisi tunaweza kusema, kula chakula bila kufanya mazoezi. Ziko aina kuu mbili za ugonjwa wa kisukari. Ule unaotokea kwa sababu ya upungufu wa homoni ya insulin mwilini ( Type 1 diabetes), na ule unaotokana na homoni ya insulin kutokufanya kazi, japo kuwa inatengenezwa kwa kiwango hata zaidi ya kawaida, (Type 2 diabetes) . Asilimia 90 ya wagonjwa wa kisukari wana kisukari cha aina ya pili(type 2 diabetes). Hivyo basi maelezo mengi yatakayoandikwa hapa yatahusiana na kisu...

SLIMMING SYRUP IMERUDI TENA.

Tunapenda   kuwatangazia  wateja  wetu  wapendwa  kwamba , sasa  tunayo  SLIMMING  SYRUP  ya  kukata  kitambi, ni  " pure  herbal "  , haina  kemikali  yoyote  na  inaondoa  kabisa  tatizp  la  kitambi  ndani  ya  siku  thelathini, unaanza  kuyaona  matokeo  ndani  ya  siku   kumi  na  nne. Wengi  imewasaidia. Jaribu  na  wewe  ikusaidie.

SLIMMING HERBAL IMEKUJA TENA

Habari  njema  kwa  wateja  wetu, tunapenda  kuwataarifu  kuwa   Dawa  Ya  Kukata  Kitambi  "  Slimming  Herbal "  maarufu kama  "  Mkataa  KITAMBI "  sasa  imerudi  tena.  Bei  Ya   Dawa   Tshs  Elfu  40  Tu.  Ni  "pure  herbal  "   haijachanganywa  na  kemikali  yoyote  na  haina  side  effect  yoyote  kwa  mtumiaji. Dawa  imewasaidia  mamia  ya  walio  itumia.  Ni  dozi  ya  siku  ishirini  na moja  na  inatoa  matokeo  ndani  ya  siku  kumi  na  nne  tu.   Fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu,  au  piga  simu...

TUNAPATIKANA FACEBOOK

Tunapenda  kuwataarifu wateja  wetu  wapendwa  kuwa  sasa  tunapatikana  katika  mtandao  wa  kijamii wa  facebook. Tafadhali  tutembelee  kupitia  : WWW.FACEBOOK.COM/NEEMAHERBALIST Pia  usiache  kulike  page  yetu  kwenye  face book :   www.facebook.com/NeemaHerbalistCo.Ltd KARIBUNI  SANA 

TANGAZO LA KITABU

                                                       KITABU  KITABU  KITABU  Name  Of  The  Book  :   Chanzo, Athari &  Tiba  Asilia  Ya    Tatizo  La  Kitambi. Author      :  Gloria   Elibariki. Publishers :  Neema  Herbalist   Co. LTD. Project  :  Mradi   Wa  Vitabu   Vya   Elimu  Ya   Tiba  Asilia. Bei  Ya  Kitabu  :  Tanzanian  Shilings  Five  Thousands Only  (  Tshs  5,000/=) KUHUSU  KITABU :  Kitabu hiki  kiinaelezea kwa  kina   chanzo...

JITIBU MAGONJWA 27 KWA ASALI NA MDALASINI

Mdalasini  Asali                          MDALASINI NA ASALI Taswira  ya  mtu  anayesumbuliwa  na  tatizo  la  chunusi  ambalo  linaweza  kuondoka  kwa  kutumia  mdalasini  kama  makala  haya  yanavyo  elekeza.  " MDALASINI NA ASALI vinaweza kukufanya uonekane kama picha yenye afya nzuri kama ile ya mwonyeshaji mitindo ya mavazi na muigizaji sinema Jocqol Bell." Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida. Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na l...

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WANAUME WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA VITAMBI.

HABARI  NJEMA  SANA  KWA  WANAWAKE  NA  WANAUME  WANAOSUMBULIWA  NA TATIZO  LA  VITAMBI ( MATUMBO  MAKUBWA ) Utafiti  wetu  umegundua  kwamba  kuna  idadi  kubwa  sana  ya wanawake  na  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kuwa  na matumbo  makubwa  kiasi  ama  vitambi  kwa  lugha  nyingine. Uchunguzi  wetu  umetuwezesha  kubaini  kuwa  katika  watu  kumi  wanao  tembea bararani  angalau  watatu  kati yao  wanasumbuliwa na  tatizo la kitambi. CHANZO  CHA  TATIZO  Kwa  mujibu  wa  kitabu " CHANZO, ATHARI NA TIBA ASILIA  YA  TATIZO LA  KITAMBI  NA  UNENE  KUPITA  KIASI : Orodha  Ya  Vyakula, Vinywaji na Dawa  Asilia  Zinazotibu Tatizo  la  Kitambi...

JIKINGE NA KANSA KWA VYAKULA VYA ASILI

Nyanya Kitunguu  Saumu Brokolini Beri Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  duniani, ugonjwa  wa  kansa  unatajwa  kuwa  ndio  ugonjwa  wa  hatari  zaidi  pengine  kuliko  ugonjwa  mwingine  wowote  uliowahi  kutokea  katika  historia  ya  mwanadamu.   Nchini   Tanzania  pekee  kiasi cha watu 100 hufariki dunia KILA SIKU kutokana na magonjwa ya saratani, hii  ni  kwa  mujibu  wa  taarifa  ya  Taasisi  ya  Saratani  ya  Hospitali  ya  Ocean  Road a  jijini  Dar  es  salaam  kupitia  Mkurugenzi  wake  Dk. Twalib  Ngoma. Hali i  mbaya  zaidi katika  nchi  zilizoendelea   ambako  tunataarifiwa  ya  kwamba   kuna  idadi  kubwa  sana...

VYAKULA HIVI VINASABABISHA SARATANI! JIHADHARANI NAVYO!

Soseji Ugonjwa  wa  saratani  ama  kansa  unatajwa  kuwa  ndio  ugonjwa  wa  hatari  zaidi  duniani  na  unaoua   watu  wengi  zaidi  duniani.  Ugonjwa  huu  unasababishwa  na  mambo  mbalimbali  ikiwa  ni  pamoja  na  ulaji  wa  vyakula   vya aina  mbalimbali. Vifuatavyo  ni  baadhi  ya  vyakula  ambavyo  vimetajwa  katika  tafiti  mbalimbali  kuwa  visababishi  vya  ugonjwa  wa  saratani. VYAKULA VYA KUKAANGA Vyakula vingi vinavyotayarishwa kwa kukaangwa kwenye mafuta yenye moto mkali huwa na madhara kiafya na miongoni ma madhara hayo ni pamoja na kusababisha kansa ya kwenye mfuko wa uzazi. Vyakula hivyo ni pamoja na chips na vyakula vingine vinavyopikwa kwa kukaangwa kwenye mafuta. VYAKULA VYENYE CHUMVI NYINGI Vyakula vye...