Kutokwa na
kinyama ama uvimbe
kwenye sehemu ya haja
kubwa ni tatizo
linalo wakabili maelfu ya watu duniani.
Tatizo
hujulikana kwa Kiswahili
kama
Bwaziri, katika lugha
ya kisukuma na kinyamwezi
huitwa “Man’gondi” na katika
lugha ya kiingereza
hujulikana kama Hemorrhoids.
Mti wa ufwambo |
Tunda la mti wa ufwambo. |
AINA ZA
BAWAZIRI : Kwa mujibu wa
tafiti mbalimbali za kitaalamu, zipo bawaziri
za aina mbili, bawaziri ya
ndani na bawaziri
ya nje. Kwa kawaida
mtu huweza kuwa
na moja wapo kati
ya aina hizo
na wakati mwingine, mtu
mmoja anaweza kuwa
na bawaziri za
aina zote mbili
kwa wakati mmoja.
NINI HUSABABISHA
BAWAZIRI ?
Ufwambo ambao bado haujaivisha matunda |
Ufwambo |
Mpaka sasa
wataalamu bado hawaja
baini chanzo halisi
cha tatizo la
bawaziri. Hata hivyo tafiti
mbalimbali za kitaalamu zinabainisha
mambo kadhaa yanayo
changia kutokea kwa
tatizo la bawaziri.
Mambo hayo
ni pamoja na :
i.
Kukosa
choo kwa muda
mrefu
ii.
Kuharisha kwa
muda mrefu
iii.
Kukaa
kwenye choo kwa
muda mrefu
iv.
Kukaa
kwa muda mrefu
v.
Unene
na uzito kupita
kiasi: Tafiti mbalimbali zina onyesha
kuwa, asilimia kubwa ya
watu wenye tatizo la
unene na uzito
ulio zidi, huwa katika hatari
kuu ya kupatwa
na tatizo la
bawaziri
vi.
Ujauzito : Tafiti
mbalimbali za kitaalamu
zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa
ya wanawake wajawazito
huwa katika hatari
ya kupatwa na
tatizo la bawaziri, sababu ikiwa
ni kuongezeka kwa
shinikizo ndani ya
mfuko wa uzazi.
vii.
Kutofanya mazoezi
kwa muda mrefu
viii. Kutotumia vyakula
vyenye nyuzi nyuzi
ix.
Sababu za kinasaba : Tafiti zinaonyesha
kuwa, wapo watu wanao patwa
na bawaziri, kwa sababu
za kijenetiki
NINI DALILI
ZA BAWAZIRI ?
Dalili kuu
za bawaziri ni
pamoja na kutokwa
na kinyama ama
uvimbe kwenye sehemu
ya haja kubwa, kukosa
choo, kupatwa maumivu makali sana wakati wa
kujisaidia au wakati unatembea
na wakati mwingine
maumivu huendelea hata
ukiwa haupo katika matendo niliyo
yataja hapo juu. Dalili
nyingine ni pamoja na
kuhara damu ama
kutoa kinyesi chenye
damu.
JINSI YA
KUJIKINGA USIPATWE NA
BAWAZIRI :
Kujikinga usipatwe
na bawaziri, unashauriwa
i.
Kujenga
tabia ya kuwa
unakula vyakula vyenye nyuzi nyuzi ( fibre) kwa wingi
ii.
kula
matunda kwa wingi
iii.
Kunywa
maji mengi
iv.
Fanya
mazoezi ya mwili
mara kwa mara
v.
Usikae
maliwatoni kwa muda mrefu
vi.
Usiruhusu unene
na uzito kubwa.
TIBA ASILIA
YA TATIZO LA
BAWAZIRI :
Zipo tiba
mbalimbali za asilia
ambazo zina tibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la bawaziri
Baadhi ya
tiba hizo ni
kama ifuatavyo :
i.
MKATABAWAZIRI
:
Ni tiba ya asili
inayo tibu na
kuponyesha kabisa tatizo
la bawaziri ndani ya siku
ishirini na moja. Mbali
na kutibu bawaziri, MKATABAWAZIRI inatibu
pia, tatizo la kukosa choo
( constipation ) , kusafisha tumbo na
kuondoa koletsrol mbaya mwilini.
ii.
LUFAMBO ama UFWAMBO
: Huu
ni mti unato
tumika kutibu na
kuponyesha kabisa tatizo
la bawaziri. Mti huu
hutoa matunda yenye
rangi mbili, nyekundu na nyeusi.
Jinsi ya
kutumia ufwambo katika
tiba ya bawaziri, chemsha mizizi na / au majani yake kasha tumia
kunywa asubuhi mchana
na jioni kwa
siku thelathini. Shida
yako itapona. Mti
wa ufwambo, mbali na kutibu
tatizo la bawaziri,. Unatibu pia
tatizo la kuharisha kusikokoma.
Mkomavikali |
iii.
MKOMAVIKALI
:
Huu ni
mti mwingine ulio fanyiwa utafiti
na kuthibitishwa kitaalamu
kuwa na uwezo wa kutibu
tatizo la bawaziri. Jinsi
ya kutumia mti
huu, chukua mizizi yake kasha chemsha
halafu mpe mgonjwa anywe mara
tatu kwa siku
asubuhi mcxhana na
jioni, unaweza pia kuikausha
na kuisaga na kasha
kuchemsha unga unga
wake na kuutumia
kwa kunywa.
Mnunganunga |
iv.
NUN’GANU’NGA
:
Huu ni
mti mwingine unato tibu
tatizo la bawaziri. Mbali na kutibu
bawaziri, mti huu unatibu
pia tatizo la ngiri, maumivu
ya tumbo pamoja
na minyoo ya
tumboni. Sehemu ya
mti huu inayo
tumika kama tiba
ya magonjwa ni mizizi
pamoja na majani
yake.
Zomanguku ( Mchicha Pori ) |
v.
ZUMANGUKU
:
Huu ni mti mwingine ambao
umethibitishwa kuwa na
uwezo wa kutibu
tatizo la bawaziri. Jinsi ya
kutumia mti huu
kama tiba, chemsha majani
yake kishe mpe mgonjwa
anywe mara tatu kwa
siku kwa siku
thelathini.
vi.
LUWAWA
: Luwawa
hutibu tatizo la
bawaziri kwa mgonjwa kuchemsha
majani yake ni kasha
kutumia
kwa kunywa mara
tatu kwa siku, kwa siku
thelathini.
HIYO NI BAADHI
YA MITI INAYO
TIBU NA KUPONYESHA
KABISA TATIZO LA
BAWAZIRI. ENDELEA KUTEMBELEA : www.neemaherbalist.com KILA
SIKU ILI UPAT
KUFAHAMU KUHUSU MITI
INAYO TIBU MAGOINJWA
MBALIMBALI YANAYO MSUMBUA
MWANADAMU.
MAKALA HAYA YAMELETWA KWENU KWA HISANI YA DUKA LA NEEMA
HERBALIST. DUKA LINALO UZA DAWA MBALIMBALI ZA ASILI. TUNAPATIKANA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM, JIRANI NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING,
NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766 53
83 84.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu tiba
mbalimbali za asili, tutembelee kila siku katika blogu yetu:
Upate kujua mambo mbalimbali kama vile
:
1. JINSI SUALA LA UPIGAJI
PUNYETO LINAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
2. JINSI SUALA LA KITAMBI,
UNENE NA UZIO ULIO ZIDI, LINAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
3. UHUSIANO ULIOPO KATI YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA MAGONJWA MBALIMBALI KAMA VILE
: Kisukari, Presha, Shinikizo La Damu, Kolestrol
Mbaya Mwilini , Magonjwa Ya Moyo,
Magonjwa Ya Figo, Ngiri, Msongo wa Mawazo,
Maumivu Ya Mgongo, Magonjwa Katika Mishipa Ya Kusafirishia Damu Mwilini na Hitilafu Katika Mfumo wa Usafirishaji na Utiririshaji wa Damu mwilini.
4. JINSI UNAVYO WEZA KUONDOA KITAMBI NA KULIFANYA TUMBO LAKO KUWA FLAT KABISA NDANI YA SIKU 14
5. JINSI UNAVYO
WEZA KUPUNGUZA UNENE NA UZITO MKUBWA NDANI YA SIKU THELATHINI.
6. KWA MTU ULIE KONDA NA KUDHOOFIKA;
JINSI UNAVYO WEZA KUNENEPA NA KUREJESHA AFYA YAKO NDANI YA SIKU THELATHINI.
7. JINSI UNAVYO WEZA KUPONA KABISA TATIZO
LA BAWAZIRI NDANI YA SIKU THELATHINI.
8. JINSI UNAVYO WEZA KUTIBU TATIZO LA UVIMBE WA TUMBONI PAMOJA NA UVIMBE WA KWENYE KIZAZI NDANI YA
SIKU THELATHINI.
Comments
Post a Comment