Skip to main content

MITI YA MSYENENE NA MPAMBAWAKE HUWASAIDIA WANAWAKE WENYE TATIZO LA KUTOBEBA UJAUZITO.





Kutokubeba  ujauzito  ni  tatizo  linalo  wakabili  wanawake  wengi  duniani.  Zipo  tiba  mbalimbali  za  asili  ambazo  zina  uwezo  wa  kuwasaidia  wanawake  wenye  tatizo  la kutokubeba  ujauzito    na  wale  wenye  tatizo  la  kuchoropoka  kwa  mimba  ama  miscarriage.
Miongoni  mwa  dawa  asilia  zilizo  na  uwezo  wa  kuwasaidia  wanawake  wenye  matatizo  ya  uzazi  ni mti  wa  Msyenene  pamoja  na  mti  mwingine  ujulikanao  kama  Mpambawake.
Miti  hii  inapochanganywa  pamoja, huwa  na  msaada  mkubwa  wa kitabibu sana kwa  wanawake  wanao kabilliwa  na  tatizo  la  uzazi.
Tiba  hii  husaidia  katika  mambo  yafutayo :
i.                   Husaidia  kusafisha  mirija  ya  uzazi
ii.                Husaidia  kurutubisha  mayai ya  uzazi
iii.             Husaidia  kutibu  tatizo  la  kuchoropoka  kwa  mimba
iv.             Husaidia  kutibu  tatizo  la kutokwa  na  hedhi  mfululizo
v.                Husaidia  kutibu  tatizo  la  kupatwa  na  maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa pamoja  na  maumivu  wakati  wa  hedhi
vi.             Husaidia  kutibu  matatizo  ya  homoni  kwa  wanawake
vii.          Husaidia  kuboresha  na  kuimarisha  afya  ya  mtoto  awapo  tumboni
viii.       Husaidia kutibu  tatizo  la  maumivu  chini  ya  kitovu.
Kama wewe  ni  mwanamke  unae  sumbuliwa  na  tatizo  la kutobeba  ujauzito na/au  tatizo  la  kuchoropoka  kwa  mimba, jaribu  kutumia  tiba  hii  ili  upate  faida  ambazo  wanawake  walio  itumia  wamezipata.
JINSI  YA  KUPATA  TIBA  HII
Kupata  dawa  hii  fika  katika  duka  la kuuza  dawa  za  asili  la  Neema  Herbalist.
Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO   NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo la  UBUNGO  PLAZA.
WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA 
0766  53  83  84.
Kwa  wateja  wa jijini  Dar  Es  Salaam, wasio weza  kufika  ofisini  kwetu, tunayo  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  popote  walipo  jijini  Dar  Es  Salaam  ( Home & Office Delivery )
Kwa  wateja  waliopo  mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  magari.
Kwa  wateja  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  boti.
Kwa wateja  wetu  wa  Mombasa, watasafirishiwa  dawa  kwa   bus  la  TAHMEED.
Kwa  taarifa  Zaidi  kuhusu  huduma  zetu, tutembelee  kila  siku  kupitia  tovuti  yetu:

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...