Ngiri ama
hernia ni tatizo
linalo wakabili wanaume
wengi duniani. Moja kati
ya dalili kuu
za tatizo la
ngiri ni pamoja
na kusinyaa kwa
korodani moja au
zote, kusinyaa kwa maumbile
ya kiume.
Kama
ilivyo
kwa magonjwa mengine
mengi, tatizo la ngiri
linaweza kutibika kwa
kutumia dawa mbalimbali
za asili.
Ganda la tunda la upupu. Ndani yake zinakaa mbegu saba. |
Ipo miti
mingi sana inayo
weza kutumika kama
tiba ya tatizo la
ngiri. Katika makala haya, nitaelezea kuhusu miti kumi ambayo imefanyiwa utafiti wa kisayansi na kuthibitika kuwa na uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ngiri. Kati ya miti hiyo, umo pia mti wa upupu ambao unajulikana sana kwa sifa yake ya kuwasha sana.
Miti hiyo ni kama ifuatavyo :
Upupu. |
1.
MULIWANIFWENGI
:
Mti wa Muliwanifwengi hapa ukiwa umetoa matunda. Matunda ya mti huu pia ni dawa ambayo husaidia kusafisha damu. |
Hili
ni jina la
lugha ya kinyamwezi. Wanyamwezi ni
wenyeji wa mkoa
wa Tabora, ambao unapatikana
magharibi wa nchi
ya Tanzania. Mti
huu una uwezo mkubwa sana
wa kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ngiri.
Muliwanifwengi |
Jinsi unavyo
tumika; mgonjwa anachukua mizizi
anachemsha pamoja na
maji kisha anatumia
kunywa mara tatu
kwa siku asubuhi
mchana na jioni
kwa muda wa
siku thelathini.
Mbali
na kutibu tatizo
la ngiri, mti huu
pia una uwezo
wa kutibu ugonjwa
wa kaswende pamoja
na kusafisha mishipa
ya damu.
Chipukizi la Muliwanifwengi ambalo bado halijakomaa |
2. MUSISIGULU : Kama ilivyo
kwa mti wa Muliwanifwengi, jina
la mti wa
Msisigulu linatokana na
lugha inayo tumiwa
na watu kutoka
kabila la wanyamwezi
wa mkoani Tabora.
Mti huu
umefanyiwa utafiti wa
kisayansi na kuthibitika
kuwa na uwezo
mkubwa wa kutibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la ngiri.
Pamoja na
ngiri, mti wa Musisigulu, hutibu pia
matatizo ya mapafu.
Jinsi ya
kutumia mti wa
Msisigulu katika tiba
ya ngiri, chemsha mizizi
yake kwenye kisha
tumia kunywa mara tatu
kwa siku kwa siku
thelathini.
Upupu |
Shina la upupu ambao bado haujakomaa. |
3. MUMULIMULI : Mumulimuli ni jina la kinyamwezi. Mti huu
umethibitishwa kisayansi kuwa
na uwezo wa
kutibu tatizo la
ngiri, minyoo ya tumboni,
kaswende pamoja na kisonono.
Jinsi
ya kutumia mti
huu, chemsha mizizi yake
kisha tumia kunywa
mara mbili kwa siku
asubuhi na jioni
kwa siku thelathini.
4. Muzegezega
: Mti
huu pia umefanyiwa
utafiti wa kina
na kuthibitika kuwa
na uwezo mkubwa wa
kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ngiri.
Pamoja na
kutibu ngiri, mti wa
Muzegezega, una uwezo wa kutibu pia
magonjwa mengineyo kama
vile ; Kufeli kwa
moyo, Homa Ya Manjano, Kikohozi, Pumu, Mkamba ( Bronchitis
), Matatizo katika ubongo
pamoja na Degedege.
5. Kasolanhanga au
Sawi au Asparagus ;
Huu ni
mmea uliothibitika kisayansi
kuwa na uwezo
mkubwa sana wa kutibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la ngiri. Katika
lugha ya kinyamwezi, hujulikana kama
Kasolanhanga au Sawi , lakini
katika kiingereza, hujulikana kama
Asparagus.
Mmea huu ambao ni jamii
ya mbogamboga, mbali na
kutibu tatizo la
ngiri, hutumika pia kama
tiba ya ugonjwa
wa Gono.
Jinsi inavyo
tumika, mgonjwa atachemsha mizizi
ya mti huu
kwenye maji, kisha atatumia
kunywa asubuhi mchana
na jioni kwa
muda wa siku
thelathini.
6. Nyanya Chungu : Nyanya chungu
ni mti wenye
faida nyingi sana
katika afya ya
mwanadamu. Karibu kila kiungo
kinacho patikana katika
mmea wa Nyanya
Chungu ama Ngogwe
hutumika kama tiba
kwa mwanadamu. Kuanzia matunda,
majani, hadi mizizi.
Kujitibu tatizo
la ngiri kwa
kutumia mmea wa
Nyanya Chungu, chukua
mizizi yake kisha
ichemshe kwenye maji , halafu
tumia kunywa maji hayo, mara tatu
kwa siku, asubuhi na
jioni kwa siku
thelathini. Tatizo lako litapona
kabisa.
7. Bumu ama
Upupu ;
Bumu ni lugha
inayo tumiwa na
waluguru wenyeji wa mkoa
wa Morogoro, wakimaanisha mti wa Upupu.
Mti wa upupu
unajulikana zaidi kwa
sifa yake moja
kubwa, ambayo ni kuwasha sana.
Pamoja na
kuwa na sifa
ya kuwasha, mti wa
upupu una faida nyingi
sana za kitabibu pamoja
na kiuchumi. Katika makala
haya ya leo, nitaelezea jinsi
mti wa upupu
unavyo tumika kama
tiba ya tatizo
la ngiri.
Kutibu tatizo
la ngiri kwa
kutumia mti wa
upupu, chukua mizizi au
majani ya mti
wa upupu ulio
komaa, kisha chemsha halafu
tumia kunywa mara
mbili kwa siku
asubuhi na jioni
kwa siku kumi
na nne., na tatizo
lako litapona. Waluguru
kutoka mkoani Morogoro, wanatumia sana
mti wa upupu kama
tiba ya ngiri.
( TAHADHARI : WATU WENGI
WANASHINDWA KUTUMIA VIZURI MTI VIZURI KAMA
TIBA. HIVYO HAUSHAURIWI KUUTUMIA
MWENYEWE BILA KUPATA
USHAURI NA MSAADA
WA MTAALAMU, NA BADALA
ZINGATIA MATUMIZI YA
MITI MINGINE )
Mbali na
kutibu ngiri, mti wa
upupu una uwezo pia wa
kutibu maradhi ya “Parkinson Desease”
8. Kiberuberu
: Huu
ni mti mwingine
ulio fanyiwa utafiti
na kuthibitishwa kitaalamu, kuwa na
uwezo wa kutibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la ngiri. Kiberuberu
ni jina la
mti huu katika lugha ya kiluguru. Katika lugha
hiyo hiyo ya
kiluguru, mti huu hujulikana
kama Mguhu.
Mti huu
hutumika kwa mgonjwa
kuchemsha mizizi yake
na kisha kutumia
kwa kunywa, mara tatu
kwa siku kwa
siku thelathini.
9. Luhalamila au Luhambamti : Hili ni
jina kutoka katika
lugha ya Kiluguru inayo zungumzwa na
watu kutoka jamii ya
waluguru wanao patikana
mkoa wa Morogoro, nchini Tanzania.
Mti huu umefanyiwa
utafiti wa kisayansi
na kuthibitika kuwa
na uwezo wa kutibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la ukosefu
na nupungufu wa
nguvu za kiume
Jinsi ya
kutumia tiba hii, mgonjwa
anatakiwa kuchemsha majani
yake yakiwa mabichi
na kisha kutumia
kunywa mara tatu
kwa siku, asubuhi, mchana na
jioni kwa siku
thelathini.
10.
Luziwana
: Waluguru
wa mkoani Morogoro, wanautumia sana
mti huu kama
tiba ya tatizo
la ngiri. Mbali na kutibu
ngiri, mti wa
Luziwana hutibu magonjwa
mengineyo kama vile
kuharisha pamoja na
maumivu ya tumbo.
Mgonjwa anashauriwa
kuchemsha mizizi ya
mti huu na
kisha kutumuia kunywa
mara tatu kwa
siku kwa siku
thelathini.
KAMA NILIVYO DOKEZA, HAPO AWALI, TANZANIA TUMEBARIKIWA KUWA
NA MAELFU YA
MITI YENYE UWEZO
WA KUTIBU MAGONJWA
NA MATATIZO MBALIMBALI
YA KIAFYA YANAYO MKABILI MWANADAMU.
KATIKA TATIZO LA
NGIRI PEKEE, KUNA MAMIA
KWA MAMIA YA MITI
INAYO TUMIKA KUTIBU
TATIZO HILO. KATIKA MAKALA HAYA
NIMEELEZEA MITI KUMI
TU. KATIKA MAKALA
ZA USONI, NITAELEZEA
PIA MITI MINGINE, AMBAYO INATIBU
TATIZO LA NGIRI.
MAKALA HAYA
YAMELETWA KWENU KWA
HISANI YA DUKA
LA NEEMA HERBALIST. DUKA LINALO
UZA DAWA MBALIMBALI
ZA ASILI. TUNAPATIKANA
UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM, JIRANI NA
SHULE YA MSINGI
UBUNGO NATIONAL HOUSING, NYUMA YA
JENGO LA UBUNGO
PLAZA.
Wasiliana nasi
kwa simu namba
0766 53 83 84.
Na
kwa
taarifa zaidi kuhusu
tiba mbalimbali za asili, tutembelee kila
siku katika blogu
yetu:
Upate kujua
mambo mbalimbali kama
vile :
1. JINSI SUALA
LA UPIGAJI PUNYETO LINAVYO
SABABISHA TATIZO LA
UKOSEFU NA UPUNGUFU
WA NGUVU ZA
KIUME.
2. JINSI
SUALA LA
KITAMBI, UNENE NA UZIO
ULIO ZIDI, LINAVYO SABABISHA
TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME
3. UHUSIANO ULIOPO KATI
YA TATIZO LA
NGUVU ZA KIUME
NA MAGONJWA MBALIMBALI
KAMA VILE : Kisukari, Presha,
Shinikizo La Damu, Kolestrol Mbaya Mwilini ,
Magonjwa Ya Moyo, Magonjwa Ya
Figo, Ngiri, Msongo
wa Mawazo, Maumivu Ya
Mgongo, Magonjwa Katika Mishipa
Ya Kusafirishia Damu
Mwilini na Hitilafu
Katika Mfumo wa
Usafirishaji na Utiririshaji
wa Damu mwilini.
4. JINSI UNAVYO
WEZA KUONDOA KITAMBI
NA KULIFANYA TUMBO
LAKO KUWA FLAT
KABISA NDANI YA
SIKU 14
5. JINSI UNAVYO WEZA
KUPUNGUZA UNENE NA UZITO MKUBWA
NDANI YA SIKU
THELATHINI.
6. KWA MTU
ULIE KONDA NA
KUDHOOFIKA; JINSI UNAVYO
WEZA KUNENEPA
NA KUREJESHA AFYA
YAKO NDANI YA
SIKU THELATHINI.
7. JINSI
UNAVYO WEZA KUPONA
KABISA TATIZO LA BAWAZIRI NDANI YA SIKU
THELATHINI.
8. JINSI
UNAVYO WEZA KUTIBU
TATIZO LA UVIMBE
WA TUMBONI PAMOJA
NA UVIMBE WA
KWENYE KIZAZI NDANI
YA SIKU THELATHINI.
Comments
Post a Comment