Skip to main content

Posts

KUTANA NA MAPACHA WALIO AMUA KUOLEWA NA MWANAUME MMOJA.

Owami    na   olwethu   Mzazi,mapacha   wenye   umri wa   miaka 26 ,kutoka   Vosloorus ,Afrika   Kusini, hivi   karibuni   wamefunga   ndoa   na   mwanaume mmoja aliyejulikana   kwa   jina   la Mzukiseni    Mzazi   mwenye   miaka   51. Walipoulizwa   na   jarida   moja   nchini   Afrika   Kusini   ,kwanini   wameamua   kuolewa   na   mwanaume mmoja,mapacha   hao   walisema   wamekuwa   wakishare   kila   kitu   tangu   walipokuwa   na   umri   mdogo. “ Siku   zote   tumekuwa   tukifanya   kila   kitu   pamoja.   Tuna   share   kila   kitu. Hivyo   ndivyo   bibi   yetu   alivyo   tulea. So   tulipo   fikiri   kuhusu   kuolewa,   tuliweka   dhamira...

ONDOA KITAMBI KWA SIKU KUMI NA NNE!!!

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji  wa   dawa   mbalimbali  za  asili.   Tunayo  dawa  nzuri  ya  asili  inayo  ondoa kitambi  na kulifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa  ndani  ya   siku  kumi  na  nne. Dawa  ni  ya  asili  kabisa " Pure  Herbal", haijachanganywa  na   kemikali  yoyote  na  haina  side  effects  kwa  mtumiaji . BEI  YAKE  NI  SHILINGI  ELFU  HAMSINI  TU    ( Tshs.50,000/=) Kwa  wasio weza  kufika  ofisini  kwetu tunawapelekea  dawa  mahali   walipo  ( DELIVERY ) Kwa  wateja  wa  mikoani, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, kwa  wateja  waliopo  Zanzibar...

ULEVI WA SHISHA : CHANZO CHA SARATANI YA MAPAFU

Watumiaji wa kilevi cha shisha wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa. Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa umeshika kasi na kuteka watu wengi hasa vijana, una hatari kubwa kuliko uvutaji wa sigara. Iinasadikiwa watu wengi, hususani vijana, hivi sasa wameibukia katika uvutaji huo, wakiamini ndiyo mbadala wa  sigara kwa kudhani kuwa haina madhara. Daktari wa Kitengo cha Matibabu ya  Saratani, Hospitali ya Aga Khan, Dk Amiyn Alidina, alisema hayo  kwenye majadiliano ya ufahamu wa magonjwa ya saratani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Dk Alidina alisema kilevi hicho  hakina tofauti na sigara, ambayo mvutaji wake hawezi kukwepa magonjwa ya saratani, maradhi ya moyo na maradhi ya mfumo wa hewa. "Shisha haiwezi kuwa mbadala wa sigara kwa kudhani kuwa mtu hawezi kupata saratani na magonjwa mengine, hii ni hatari zaidi," alisema. Ulevi huo hutengezwa ...

MTOTO ALIYEIBWA HOSPITALI AKIWA NA SIKU 19 MWAKA 1987, AUNGANA NA WAZAZI WAKE BAADA YA MIAKA 21.

Carlina  White   Carlina  White  na  wazazi  wake  halisi. Tarehe   18 Agosti   1987 ilikuwa   ni   siku   mbaya   kabisa   kuwahi   kutokea   katika   familia   ya   Bi Joy   White   na   Carl   Tyson. Carlina   White  na  mama  yake  mzazi. Mtoto   wao   kipenzi   aliyekuwa   na   siku kumi   na   tisa   tu   tangu   aanze   kuvuta   pumzi   alitekwa   katika   hospitali   ya   Harlem Hospital   Center, New   York   City, Marekani.   Carlina  White  mwaka  1987  kabla  hajatekwa.     Wazazi wa  Carlina  mwaka  1987 Wazazi  wa  Carlina  mwaka  1987 Hata   hivyo, miaka   ishirini  ...