KISUKARI KILISABABISHA MKE
WANGU WA NDOA KUNIKIMBIA NA KUHAMIA KWA JIRANI
YANGU
Kisukari ni
tatizo linalo wasumbua watu
wengi duniani. Ama kwa
upande wa wanaume, tatizo la
kisukari huja na
madhara mengi. Moja kati
ya madhara yanayo
letwa na tatizo
la kisukari ni
pamoja na tatizo
la ukosefu na
upungufu wa nguvu
za kiume.
Kwa
wanaume tatizo la
kisukari na tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume
huenda sambamba. Mara nyingi, ukosefu ama
upungufu wa nguvu
za kiume huweza
kuchukuliwa kama dalili ya kuwa
na tatizo la
kisukari.
Tatizo
hili huweza kuja
na athari nyingine za
kijamii na kifamilia. Mfano wa
athari hizo inaweza
kuwa kukimbiwa na
mke, mchumba, mpenzi nakadhalika.
Tunacho kisa
kimoja cha kusikitisha
kinacho muhusu mwanaume
aliye kimbiwa na mke wake, na
kisha mke huyo
kuhamia kwa jirani
yake kwa sababu ya
ugonjwa wa kisukari.
Kisa
hiki kinasimuliwa na Mchungaji
& Mwinjilisti Daniel Kulola, alipokuwa akihubiri
huko Chamwino, mkoani Dodoma.
Mchungaji Daniel
Kulola anasema :
“
Wakati nakuja kwenye
basi, mtu mmoja akanipigia
simu. Aliokoka mwaka 97 wakati
nahubiri Shinyanga. Yule ni
mwalimu wa sekondari, sasa hivi
ni amepandishwa cheo, amekuwa
Mratibu wa Elimu. Anasema ‘ KILA
NIKIFUMBA MACHO, NAONA KIFO!
PRESHA YANGU IPO
JUU KULIKO KAWAIDA, NA
NIMEPIMWA NIMEKUTWA NINA
KISUKARI.
KISUKARI
KIMENIFANYA MKE WANGU
ANIKIMBIE. AMEENDA KUOLEWA NA
JIRANI YANGU. KWA HIYO
MKE WANGU ANAPITA
MBELE ZA MLANGO
WA NYUMA YANGU. NA
MWANAUME MWNGINE
AMBAE ANA GARI. MIMI
SINA GARI
Fikiria maumivu
hayo. Mke wako wa
ndoa!, halafu anapita mbele
ya nyumba yako,kwa
sababu wewe ni
masikini, tena unaumwa ! Umepata kisukari, na
presha ni kubwa! Yule mtu
anasema am ready YANI
NINAONA KIFO KIPO
MBELE YANGU….. "
Kusikiliza
clip hii, bofya kwenye link hii : https://www.youtube.com/watch?v=P5M2WyDR-FE
UHUSIANO
ULIOPO KATI YA
KISUKARI NA TATIZO
LA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Kuna uhusiano
mkubwa sana kati
ya ugonjwa wa
kisukari na tatizo
la ukosefu na
upungufu wa nguvu
za kiume . Kufahamu
namna ugonjwa wa
kisukari unavyo sababisha
tatizo la ukosefu
na upungufu wa
nguvu za kiume, tembelea : http://www.neemaherbalist.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
NINI
TIBA YA TATIZO
LA NGUVU ZA
KIUME KWA MWANAUME
MWENYE KISUKARI.
Kufahamu
kuhusu tiba ya
tatizo la ukosefu
na upungufu wa
nguvu za kiume, kwa
mwanaume mwenye tatizo
la kisukari, tembelea : http://www.neemaherbalist.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-ugonjwa-wa-kisukari-na.html
HABARI HII
IMELETWA KWENU NA
NEEMA HERBALIST BLOG, KWA UDHAMINI MKUBWA
WA NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS
CLINIC, WAUZAJI WA DAWA MBALIMBALI ZA ASILI
KAMA VILE :
1. Dawa
asilia ya kuunganisha mifupa, pingili na kukomaza mifupa.
2. Dawa
asilia ya kuondoa maumivu ya misuli, kurekebisha mishipa
na misuli
3. Dawa
asilia kwa wagonjwa wa kiharusi (Kupooza)
4. Dawa
asilia ya kutibu majeraha
5. Dawa
asilia ya kutibu vidonda ndugu
6. Dawa
asilia ya kuondoa uchovu na kuwashwa
7. Dawa
asilia ya kuondoa mafuta kwenye damu ( kolestrol /lehemu)
8. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la nyongo
9. Dawa
asilia ya kutibu gauti
10. Dawa
asilia ya uzazi wa mpango
11. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la Goita
12. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la change la watoto
wachanga.
13. Dawa
asilia ya kutibu vidonda vya tumbo
14. Dawa
asilia ya kutibu mzio ( Allergy)
15. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la degedege kwa
watoto wenye umri wa kati ya miezi
6 hadi tisa.
16. Dawa
asilia ya kurutubisha mayai ya uzazi
na kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake.
17. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la utasa kwa
wanaume.
18. Dawa
asilia ya kusaidia kugeuza mtoto aliye
kaa vibaya tumboni ( Mfano: Katanguliza mikono, makalio n.k )
19. Dawa
asilia ya kupunguza kitambi, uzito na unene
uliozidi.
20. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la vinyama
vya puani.
21. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la bawaziri.
22. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la uchungu wa
pili baada ya kujifungua.
23. Dawa
asilia ya kutibu majeraha ya moto pamoja na
makovu yatokanayo na moyo.
24. Dawa
asilia ya kutiu tatizo la kwikwi
25. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kutokwa na
harufu mbaya kinywani
26. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kutoa harufu
mbaya mwilini
27. Dawa
asilia ya kusaidia kunenepesha mtu aliye
dhoofu mwili
28. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la uvimbe wa tumboni
( FIBROID )
29. Dawa
asilia ya kisukari
30. Dawa
asilia kwa watu wenye tatizo la moyo,
presha ya kupanda, presha ya kushuka, moyo
kupanuka na matundu kwenye moyo.
31. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la U.T.I, kaswende,
kisonono sugu na Taifodi.
32. Dawa
asilia ya kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi
33. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kubanwa mkojo na maumivu
kwenye njia ya mkojo
34. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kujikojolea
35. Dawa
asilia ya kusafisha figo na kibofu
cha mkojo
36. Dawa
asilia ya kuondoa sumu mwilini
37. Dawa
asilia ya kuondoa maumivu ya hedhi
38. Dawa
asilia za kuondoa sumu ya nyoka, na nge.
39. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la pumu
40. Dawa
asilia ya kuyeyusha uvimbe kwenye lango la
uzazi.
41. Dawa
asilia ya kutibu malaria sugu
42. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la upara
43. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kikohozi sugu na
kimeo.
44. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la ngiri
45. Mawe
kwenye figo
46. Kukosa
choo
47. Kukosa
hamu ya kula
48. Chango
la kike
49. Kutanua
nyonga ( Kuzaa bila kupasuliwa )
50. Nguvu
za kiume
51. Hamu
ya tendo la ndoa kwa wanawake.
52. Mtoto
kuchelewa kutembea
DAWA ZOTE HIZI NI ZA ASILIA
KABISA NA HAZINA KEMIKALI ZA VIWANDANI.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES
SALAAM, jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja waliopo Dar Es Salaam,
ambao hawana nafasi ya kufika ofisini
kwetu, watapelekewa dawa mahali popote walipo.
Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa
dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa
dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Kwa wateja waliopo Mombasa, watatumiwa dawa
kupitia basi la TAHMEED.
Kwa wateja waliopo jijini Nairobi,
watatumiwa dawa kupitia basi la DAR EXRESS.
Na kwa wateja waliopo ughaibuni,
watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0766 – 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu,
tutembelee kila siku, kupitia :
Comments
Post a Comment