Utafiti
ulio fanywa na
Wizara ya Afya
nchini Burundi, umegundua kuwa kuna
idadi kubwa sana ya
wanafunzi wanao pata
mimba wakiwa shuleni
huko nchini Burundi.
Utafiti huo
unaonyesha kuwa iadadi ya
wanafunzi wanao pata mimba
nchini Burundi, imeongezeka kutoka
877 mwaka 2009 hadi
2424 mwaka 2015
na inaendelea kuongezeka
hata zaidi mwaka 2016.
CHANZO: VYOMBO
MBALIMBALI VYA
HABARI NCHINI BURUNDI.
Comments
Post a Comment