Muigizaji Desmond ELLIOT akiwa mke wake na watoto wake. Hakuna jambo zuri kwa mwanaume kama kuwa baba Utasa ni changamoto inayo wakabili watu wengi hapa Tanzania na duniani kwa ujumla. Zipo tiba mbalimbali za asili ambazo zinatibu tatizo la utasa. Miongoni mwa tiba hizo ni pamoja na hii ifuatayo ; MAHITAJI : i. Unga wa Habbat Sawdah. ii. Unga wa Uwatu iii. Mbegu Ya...