Skip to main content

JITIBU TATIZO LA KUKOJOA KWA NJIA ASILIA.

Unakabiliwa  na  changamoto ya kuwa  una  kojoa  bila  ya  kukusudia  wakati  wa  usiku  ukiwa  umelala?

Mtoto  wako  ana kabiliwa  na  tatizo  hilo ?
Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.

Mbali na  uwepo  wa  mitishamba  inayo  tibu  tatizo  la
Kukojoa  Bila  Kukusudia  ama  kujikojoloea  zipo  njia mbalimbali  zinazo  weza  kutumika  kama  tiba  ya   tatizo  la  kukojoa  bila  kukusudia.

Miongoni  mwa  njia  hizo  ni  pamoja  na  hii  ifuatayo>

 MAHITAJI :

i.                    Habbat  Sawdah Ya  Unga.
ii.                   Maganda  Ya  Mayai  Ya  Kuku  Wa  Kienyeji.
iii.                Maziwa  Fresh  Ya  N’gombe.

MAYARISHO  :
Chukua  maganda  ya  mayai  yaliyo  okwa  na  kusagwa, changanya  na  vijiko  viwili  vya  chai  vya  unga  wa  habbat  sawdah, kisha  tia  kwenye  kikombe  kimoja  cha  maziwa  fresh  ya  moto  halafu  kunywa  mara mbili kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  thelathini.
Baada  ya  siku  thelathini, tatizo  la  kukojoa  bila  kukusudia  litakuwa  limeisha.

Kama  tatizo  litakuwa  bado  linaendelea  tafadhali wasiliana  nasi  kwa  namba  0766538384.

Kwa  matokeo  mazuri  zaidi, unaweza  kutumia  vyote  kwa  pamoja, yaani  dawa  hii  hapa  pamoja  na  mitishamba  inayo  husika  na  kumaliza  tatizo  la  kukojoa  bila  kukusudia.
Mungu  akubariki  sana  unapo  enda  kutumia  dawa  hii  na  ikusaidie  kuondokana  na  tatizo  lako.



Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...