Skip to main content

JITIBU TATIZO LA UTASA KWA NJIA ASILIA

Muigizaji  Desmond ELLIOT  akiwa  mke wake na  watoto  wake. Hakuna  jambo  zuri  kwa  mwanaume  kama  kuwa  baba  
Utasa  ni  changamoto  inayo wakabili watu  wengi  hapa  Tanzania  na  duniani  kwa  ujumla.
Zipo tiba  mbalimbali  za  asili  ambazo  zinatibu  tatizo  la  utasa.
Miongoni  mwa  tiba  hizo  ni  pamoja  na  hii  ifuatayo ;

MAHITAJI :
i.                     Unga  wa  Habbat  Sawdah.
ii.                    Unga  wa  Uwatu
iii.                 Mbegu  Ya  Figili.
iv.                 Asali
v.                   Maziwa  Ya  Ngamia.


Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, unga wa uwatu na mbegu ya figili kwa vipimo sawa, atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha asali, baadae
MATAYARISHO
i.        Chukua  vijiko  viwili  vya  vya  chai vya  unga  wa  Habbat  Sawdah
ii.    Changanya  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha chakula  cha  unga  wa  uwatu
iii.       Ongeza   kijiko kimoja cha  chai  cha  unga wa   mbegu  moja  ya  figili.
iv.Changanya  na   asali  nusu  kikombe  kisha  koroga  halafu  tumia  kunywa  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  ishirini  na  moja.
v.     Ukisha  kula  dawa  yako, fuatisha  na  kunywa  glasi moja  ya  maziwa  ya  ngamia.

Baada  ya  siku  ishirini  na  moja, tatizo  lako  la  utasa  litakuwa  limeondoka .
N.B :  Kama  itakuwa  vigumu  kwako, kuvipata  vitu  vilivyo  orodheshwa  hapo  juu, sio  tatizo  sana, kwani  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  tunatoa  huduma  ya  kutengeneza   chakula –lishe  hiki  katika  mgahawa  wetu  uliopo  kwenye  clinic  yetu.

  Kwa  maelezo zaidi, wasiliana  nasi  kwa  simu  0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA