Skip to main content

Posts

KIINI CHA YAI CHAMTIBU UGUMBA

Lorraine  Donakey  na  kichanga  chake. LIVERPOOL, UINGEREZA. Mwanamke  mmoja, Lorraine  Donakey,23, ameshika  mimba  baada  ya  kuwekewa  kiini  cha  yai  kwenye  mfuko  wake  wa  uzazi. Donakey  ambaye  aliharibu  mimba  zaidi  ya sita  hatimaye  amepata  motto  wa  kike  baada  ya  kuwekewa  kiini  cha  yai  la kuku  wa  kienyeji. Lorraine “ Kila  nilipopata  mimba, nilijua  itakua  na  nitazaa  lakini  nimeishia   kununua  nguo  nyingi  za  watoto  lakini  mimba  zinaishia  kuharibika” anasema  Donakey. Kwa  maelezo  ya  Donakey, mimba  ya  kwanza  iliharibika  akiwa  na  miaka  17  na  aligundua  hali  hiyo ...

ONDOA KITAMBI KWA SIMU KUMI NA NNE!

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji  wa   dawa   mbalimbali  za  asili.   Tunayo  dawa  nzuri  ya  asili  inayo  ondoa kitambi  na kulifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa  ndani  ya   siku  kumi  na  nne. Dawa  ni  ya  asili  kabisa " Pure  Herbal", haijachanganywa  na   kemikali  yoyote  na  haina  side  effects  kwa  mtumiaji . BEI  YAKE  NI  SHILINGI  ELFU  HAMSINI  TU    ( Tshs.50,000/=) Kwa  wasio weza  kufika  ofisini  kwetu tunawapelekea  dawa  mahali   walipo  ( DELIVERY ) Kwa  wateja  wa  mikoani, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, kwa  wateja  waliopo  Zanzibar tuna...

BIBI WA KIZUNGU ADAI SHAHAWA ZA MWANAUME NDIO DAWA BORA YA KUPAMBANA NA MUONEKANO WA KIZEE (ANT-AGING )

Stella  Ralfini  ( 67 ) Bibi   wa   kizungu, raia wa   Uingereza   Stella   Ralfini ( Pichani juu   )   anasema   siri   ya   kuwa   na   uso   usio   na   makunyanzi   ya   uzee   ni   matumizi   ya   shahawa   ya   kiume, aliyokuwa   anatumia   kujifanyia   masaji   usoni   baada   ya   kumaliza   kufanya   mapenzi   na   mpenzi   wake   wa   kiume. Stella   mwenye   umri   wa   miaka   67, anasema   alifahamu   kuhusu   njia   hiyo   ya   kupambana   na   uzee   (Anti-Aging   Method)   ijulikanayo   kama   Tantra   alipokuwa   nchini   India. Kwa mujibu   wa   Stella,   mwanamke   anayetaka   kutumia   tiba   hii, anacho   tak...

T.B JOSHUA & PASTOR CHRIS WAWAGAWA WAUMINI

Prophet  TB JOSHUA  na  Pastor   Chris  Oyakhilome. Maoni   ya   T.B JOSHUA   kuhusu   uhalali   wa   mwanamke   kutoa   mimba   iliyotokana   na   kubakwa, yameonekana   kukinzana   na   yale   yaliyotolewa   na   Pastor   Chris   Oyakhilome   wa   Huduma   ya   ChristEmbassy. Mapema   mwanzoni   mwa   mwaka   huu, Pastor   Chris   a linukuliwa akisema  kuwa, sio   dhambi   kwa   mwanamke   aliye bakwa, kufanya   abortion. Pastor   Chris   alitoa   maelezo   haya Can a baby that is a product of rape be aborted? Pastor Oyakhilome answers the question     : Akijibu   swali   hilo   hilo, T.B   Joshua   alinukuliwa   akisema : Maelezo   haya   yameonekana   kuwachanganya ...

JE UNATAFUTA KIWANJA CHA KUWEKEZA JIJINI MWANZA?

Kama unahitaji mojawapo ya viwanja hivi katika maeneo tofauti tafadhari wasiliana kwa simu +255 754 397191 au +255 713 642620 na eleza umependa Kiwanja cha eneo gani ili uweze kupata maelezo ya ziada ikiwa ni pampja na Bei zake. Kiwanja hiki kinao ukubwa wa SQM 4,189 pamoja na uzio wa Ukuta kipo Mabatini eneo la Viwanda, Barabara ya Mwanza-Musoma Kiwanja hiki kipo katikati ya Jiji la Mwanza eneo la Kenyatta, kina ukubwa wa SQM 3,800 Eneo hili lipo Buzuruga jirani na Kituo cha Mabasi ya Musoma, Nairobi, linao Uzio wa Block na ukubwa wake ni SQM 2,724. Kiwanja hiki kipo Barabara ya Airport eneo la Ilemela kina ukubwa wa SQM 17,919 kina miti na nyumba ya Stoo na Ulinzi Kipo eneo la Nyamhongoro karibu na eneo la Kituo kipya cha Maroli, lina ukubwa wa SQM 8,907 Eneo hili ni kubwa na linafaa kwa matumizi ya Shule, Hospital, Hotel ama House Apartment lina ukubwa wa SQM 8,400 lipo barabara ya kwenda PPF KIseke Eneo hili lipo bar...