Skip to main content

BIBI WA KIZUNGU ADAI SHAHAWA ZA MWANAUME NDIO DAWA BORA YA KUPAMBANA NA MUONEKANO WA KIZEE (ANT-AGING )



Stella  Ralfini  ( 67 )


Bibi  wa  kizungu, raia wa  Uingereza  Stella  Ralfini ( Pichani juu  )  anasema  siri  ya  kuwa  na  uso  usio  na  makunyanzi  ya  uzee  ni  matumizi  ya  shahawa  ya  kiume, aliyokuwa  anatumia  kujifanyia  masaji  usoni  baada  ya  kumaliza  kufanya  mapenzi  na  mpenzi  wake  wa  kiume.

Stella  mwenye  umri  wa  miaka  67, anasema  alifahamu  kuhusu  njia  hiyo  ya  kupambana  na  uzee  (Anti-Aging  Method)  ijulikanayo  kama  Tantra  alipokuwa  nchini  India.

Kwa mujibu  wa  Stella,  mwanamke  anayetaka  kutumia  tiba  hii, anacho  takiwa  ni  kuwa  na  mpenzi  wa  kiume  mwenye shahawa  zenye  afya  njema.

  Unachotakiwa  ni  kuwa  na  mpenzi, lakini  kama  hauna  utajua  mwenyewe  nini  cha  kufanya.  Unachotakiwa  kufanya   ni kujifungia  ndani  na  mpenzi  wako  kwa  muda  wa  siku kumi  hadi  wiki  mbili, mkifanya  kitu  kimoja tu ‘mapenzi’ na  pindi  mpenzi  wako  ana pofika  kileleni, unachukua  manii  zake, unajipaka  uso mzima, kisha  unasubiri  kwa  dakika  kumi  na  tano  halafu  unaosha  uso.  Najua  wengi  wenu  mnajiuliza “ Huyu mwanamke  anazungumza  kitu  gani?  Lakini  tunatakiwa  ku assume  kwamba  mpenzi  wako  ni  msafi  na  afya  njema “


Sio  Stella  peke  yake  anaye  amini  katika  njia  hii  ya  ajabu  kabisa. Muigizaji  Heather  Locklear, 51  katika  mahojiano  na  vyombo  vya  habari  hivi  karibuni, alikaririwa  akisema,siri  ya  yeye  kuonekana  binti mchanga  licha  ya  kuwa  umri  umesogea , ni  kufanya  scrub kwa  kutumia  shahawa  za  kiume.


Heather  Locklear, 51

Jarida  la  UK Mirror  linaripoti  kwamba, tafiti  mbalimbali  zimethibitisha   ufanisi  wa  matumizi  ya  shahawa  za  kiume kama njia  ya  kukabiliana  na  muonekano  wa  kizee.

Tafiti  zinaonyesha  kuwa, shahawa  za  mwanaume  zina  utajiri  mkubwa  wa  viondoa sumu na  protini  aina  ya  proteolytic  ambayo  inasaidia   katika  kuondoa  makunyanzi usoni ,kuharibu  uzio  wa  ngozi  uliokufa,na  kuifanya  ngozi  ionekane  fresh.


SOURCE  : MITANDAO  NA  VYOMBO  MBALIMBALI  VYA  HABARI.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...