i.
Kutokojoa mapema
mkojo uki kushika
ii.
Kuto kunywa
maji ya kutosha
iii.
Kula chumvi nyingi sana
kwenye chakula.
iv.
Kutokujitibu
magonjwa ya kawaida kama vile
mafua kwa haraka na vizuri
v.
Kula nyama
sana
vi.
Kutokula chakula
cha kutosha
vii.
Kutumia Vidonge
vya kukata maumivu kwa wingi
viii.
Kutokula kwa
wingi vyakula vya virutubisho
ix.
Kunywa pombe kupita kiasi
x.
Kutopumzika kiasi
cha kutosha.
Comments
Post a Comment