Parachichi |
Tunda
la AVOCADO ama
PARACHICHI lina faida
nyingi kwa afya
ya mwanadamu.
Miongoni
mwa faida hizo
ni pamoja na :
i.
Avocado lina vitamini A,B na C ambazo
zina faida lukuki
kwa mwili wa mwanadamu
ii.
Husaidia kuimarisha guvu ya mwili na ubongo
iii.
Husaidia kujenga neva na fahamu
iv.
Husaidia kujenga mifupa na kuipa nguvu
v.
Husaidia kuleta kuona vizuri
vi.
Husaidia kupiga vita ukosefu wa damu (anaemia)
vii.
Husaidia kufanya kazi
ya kuondoa nywele zinazoanguka.
viii.
Husaidia kukuza
nywele zinazodumaa (dandruf)
ix.
Husaidia kutuliza
maumivu pindi inapopakwa au kusuguliwa sehemu yenye maumivu
x.
Majani ya avocado
yakichemshwa kama chai na
kunywewa husaidia kuondoa matatizo mbalimbali
ya mwili kama vile uchovu,udhaifu,kujisikia
ovyo,kuumwa kichwa, kuumwa Koo (throat),tumbo Mapafu,uvimbe, vidonda mdomoni
(kwa kutafuna majani)
Mbegu ya Parachichi. |
·
Mbegu ya
parachichi iliyo kaangwa
na kusagwa husaidia
kutibu tatizo
la Kukwama kwa mkojo
JINSI YA
KUTUMIA PARACHICHI KAMA
DAWA YA KUTIBU
TATIZO LA KUKWAMA
KWA MKOJO.
Koroga vijiko 2 vya chai
vya unga wa mbegu
ya parachichi katika maji ya moto kikombe kimoja.
MATUMIZI
Tumia kunywa
kikombe kimoja mara
mbili kwa siku
asubuhi na jioni
hadi pale tatizo
lako litakapo malizika.
xi.
Tunda la
parachichi husaidia kutoa uric acidmwilini inayo
sababishwa na ulaji
wa nyama nyekundu.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi
kwa simu 0766538384.
Comments
Post a Comment