Skip to main content

PAPAI NI DAWA : ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAI.







Watu  wengi  hulitumia  tunda  la  papai  kwa  sababu  ya  utamu  wake.
Hata  hivyo  mbali  na  kuwa  na  ladha  nzuri, tunda  la  papai  lina  faida  lukuki  kwa  afya  ya  mwanadamu.
  

UTAJIRI  WA  VITAMINI

Tunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E  jambo  linalo  liweka  tunda  hili  katika  kundi  la  matunda  na  vyakula  vyenye  utajiri  mkubwa  wa  vitamin.


Mti  wa  papai

FAIDA  ZA  KIAFYA  ZA  TUNDA  LA  PAPAI

Tunda  la  papai  lina  faida  nyingi  sana  kwa  afya  ya  mwanadamu.   Miongoni  mwa  faida  hizo  ni  pamoja  na  kuwa  na  uwezo  wa   :

 
Mbegu  za  Papai



1.            Kutibu   tatizo  la Shida ya kusaga chakula tumboni
2.          Kutibu   Udhaifu wa tumbo
3.          Kutibu  Kisukari na asthma au pumu.
4.          Kutibu  Kikohozi kitokacho mapafuni

Mizizi  Ya  Papai

5.          Kutibu  Kifua kikuu
6.          Tunda  hili  huleta  afya nzuri ukitumia kila siku
7.          Maziwa yanayotoka katika jani lake huponya vidonda
8.          Vilevile  yanasaidia  kutibu  sehemu palipoungua moto
9.          Kama  hiyo  haitoshi, maziwa  yanayotoka  katika  jani  la  mpapai   yanatibu kiungulia  na  Ugonjwa wa colon (njia ya haja kubwa ndani)

Majani  Ya  Mpapai

10.       Pia  yanasaidia kutofunga choo
11.         Maganda ya  tunda  la  papai  yanasaidia  kutibu  tatizo  la   kuungua, vipele  na  saratani  ya ngozi.

12.       Mbegu zake zinatibu ini zikitafunwa 10 – 12 kwa siku 5.

13.       Majani yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.

14.       Majani yake yanasaidia  katika  kutibu  shinikizo la damu.

15.       Papai likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika  masuala  ya  urembo  kwani  linaweza kutumika Kama vile unavyotumia lotion kulainisha uso.

16.       Mbegu  za  papai  zina  uwezo  wa  kutibu  homa. Meza mbegu   za  papai  kiasi  cha  kijiko cha chakula mara 3 kwa  ajili  ya  kutibu  homa.

17.       Mbegu   za  papai zilizokaushwa ndani kisha zikasagwa kuwa unga zinatibu malaria, tumia kijiko 1 cha chai changanya na uji, kunywa mara 3 kwa siku 5 Mgonjwa wa kifua kikuu akila matunda haya kwa muda mrefu atapona bila dawa nyingine.

18.       Mizizi yake ikipondwa na kulowekwa katika maji yaliyochemshwa, lita 2 na nusu kwa dakika 15, yanatibu figo, bladder, yanazuia kutapika. Nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 5.

Kwa  mawasiliano  nasi  piga  simu  0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA