Watu wengi huitumia
karoti kama kiungo
ama kikolezeo cha
mboga.
Mbali na kutumika
kama kiungo cha
kwenye mboga, karoti ina
faida mbalimbali kwa
afya ya mwanadamu.
Karoti ina uwezo
wa kutibu matatizo
yafuatayo ya kiafya :
i.
Inalainisha
tumbo
ii.
Inapigana
na upungufu wa damu
iii.
Inasaidia kuzuia
Saratani
iv.
Inasaidia kutibu
Baridi yabisi
v.
Inasaidia Kusafisha damu
vi.
Inatibu Vidonda vya tumbo
vii.
Inasaidia Kutibu chunusi
viii.
Inasaidia kutibu
Macho
ix.
Inasaidia kutibu Koo na Kibofu
cha mkojo.
x.
Inasaidia kulainisha na
kunawirisha ngozi
na kuifanya yenye
afya
MATAYARISHO
Chukua karoti kilo 1, ponda au twanga iwe laini, chemsha kwa
dakika 15 ndani ya maji lita 1 na nusu au 2, chuja kunywa juisi yake kwa
vidonda vya tumbo au saratani ya tumbo na matumbo au saratani ya kizazi, tumia
nusu kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6. Kwa ajili ya kurembesha uso nawia
juisiyakekila siku asubuhi mfululizo kwa siku 5.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi
kwa simu 0766538384.
Comments
Post a Comment