Fresh Palm wine |
Ikiwa unasumbuliwa
na tatizo la
ngiri ( henia ) au
kidole cha tumbo
( appendix ) unaweza
kuchagua kutibiwa magonjwa
hayo kwa njia
asilia badala ya
kufanyiwa operesheni.
Kimsingi zipo
tiba mbalimbali za
asili zinazo tibu
matatizo ya ngiri
na kidole-tumbo.
Mvinyo wa nazi ukigemwa |
Leo nitazungumzia
namna ambavyo, mvinyo wa
mnazi
( Palm wine ) unavyo weza
kutumika kama tiba
ya tatizo la
ngiri au kidole tumbo.
Watu wengi
wana chukulia mvinyo
wa mnazi kama
kilevi, lakini kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaaalamu mvinyo
wa mnazi ni mti
– dawa (
medicinal plant )
Mtu akigema mvinyo wa nazi |
Mvinyo wa
mnazi unafanya vitu
viwili katika mwili
wa mwanadamu, kwanza unasaidia
katika kuimarisha kongosho
lakini pili unasaidia
klatika ku boost chembechembe nyeupe
za damu ( white
blood cells )
katika mwili wa
mwanadamu.
Banana Placenta |
JINSI YA
KUTUMIA MVINYO WA
MNAZI KAMA TIBA
YA TATIZO LA
NGIRI AU KIDOLE-TUMBO.
MATAYARISHO
· Chukua chipukizi
la mgomba (
banana placenta ) kisha lisafishe
kwa maji safi
na salama.
· Changanya
na lita tano
ya mvinyo wa
mnazi ambao ndio
umetoka kugemwa (
fresh palm wine )
· Chemsha
mchanganyiko wako kwa
muda wa dakika
thelathini hadi arobaini.
· Ipua
mchanganyiko wako kisha
uonje kubaini kama
ladha ya kilevi
imeondoka.
· Baada
ya hapo chuja
mchanganyiko wako na
uhifidha kwenye chombo safi
na salama.
MATUMIZI
Tumia glasi
moja ya dawa
yako mara mbili
kwa siku, asubuhi na
jioni kwa muda
wa siku ishirini
na moja.
MATOKEO ( REACTION )
YA DAWA.
Utakapo anza
kutumia dawa hii, utakuwa
unahisi maumivu kiasi
wakati wa kukojoa.
Vilevile utakuwa unatoa
mkojo wenye rangi
kama ya maziwa
kwa mbali.
UFANISI WA DAWA
Baada ya
siku ishirini na moja,
tatizo la ngiri
au kidole tumbo
linakuwa limeisha.
N.B: Makala haya
hayahamasishi matumizi ya
mvinyo wa nazi, bali
yanaelezea namna ambavyo
mvinyo wa nazi, unaweza
kutumika kama dawa
asilia ya tatizo
la ngiri au
kidole-tumbo.
hasante sana kwa kutuelimisha kuhusu tatzo hili .
ReplyDelete