Vitunguu swaumu
vina faida nyingi
sana katika afya
ya mwanadamu. Mbali na
kuwa na virutubisho
muhimu katika mwili
wa mwanadamu, vitunguu swaumu vinaweza kutumika
kama dawa ya
kutibu magonjwa na
matatizo mbalimbali ya
kiafya yanayo msumbua mwanadamu.
Makala haya
yanaelezea namna unavyoweza
kutumia vitunguu kama
dawa ya malaria :
MATAYARISHO
Chukua
punje 6 mpaka 7 za vitunguu swaumu, menya kisha vikatekate saizi ya vidonge,
vimeze kwa maziwa ya moto au maji/ mara 3 kwa siku kwa muda wa siku 14
Comments
Post a Comment