Skip to main content

HII NDIO SIRI YA USHINDI WA MH. SAMWEL SITTA



 
Mh. Magreth  Sitta.


Mtu  mmoja  mwenye  hekima, alipata  kusema maneno  haya :
“ Nyuma  ya  mafanikio  ya  kila  mwanaume, kuna  mwanamke!”
Usemi  huu  umejidhihirisha  siku  ya  leo, pale  Mhe. Samwel  Sitta  alipotoa  siri  ya   ushindi  wake  katika  kinya’ganyiro  cha   uenyekiti  wa  Bunge  la  Katiba pamoja  na  mafanikio  yake kisiasa  kwa  ujumla.  

Pamoja  na  mambo  mengine, Mhe. Samweli  Sitta alisema :




Mh.  Samwel  Sitta

 Naishukuru  sana  familia  yangu. Humu  ndani  inawakilishwa  na  mke  wangu,  Mh. Margreth  Sitta .
Mh. Magreth Sitta  amekuwa  mshauri  wangu  mkubwa, katika  masuala  yangu  binafsi  na  masuala  yangu  ya  kisiasa.  Amekuwa  akifanya  kazi  kubwa  sana  katika  hili na  nadhani  wenyewe  mmeyaona  matunda  ya  kazi  yake. Namshukuru  sana……..”


SOMO  KWA  WANAUME :  Huu  ni  mfano  wa  kuigwa  kwa  kila  mwanaume. Baba  wa  familia  ukimpa  nafasi  na  kumsikiliza  mkeo, hakika  utafika  mbali  sana  katika  maisha  yako, kwa  sababu  uzoefu  unaonyesha  kwamba, wanawake   ni washauri  wazuri  sana .

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...