Mti wa mnyonyo
una faida nyingi
sana kwa afya
ya mwanadamu. Karibu kila
kitu kinachopatikana kwenye
mmea wa mnyonyo
kina faida za
kiafya kwa mwanadamu.
Majani ya nyonyo ni tiba ya kifua kikuu na mizizi
yake ni dawa ya mafindofindo, kuungua, macho yanjano, uvimbe, koo,
kisonono na kaswende.
Kikonyo chake ni
dawa ya kwikwi.
JINSI YA KUTUMIA
MMEA WA MNYONYO
KUJITIBU MAGONJWA &
MATATIZO MBALIMBALI
YA KIAFYA.
i.
Kwikwi :
Jaza maji kwenye kikonyo, mpe mgonjwa anywe kila baada ya
dakika 3 mpaka kwikwi iishe.
ii.
Kuungua
:
Meza punje
za mti wa
nyonyo kwa maji kiasi
cha glasi moja
kwa siku kwa muda
wa siku tano.
iii.
Kutibu miguu
inayo uma :
Tumia majani kwa
kufungia miguu inayouma.
iv.
Maumivu Ya
Mgongo
:
v.
Majani
yake ukiyapasha moto yafaa kukanda mgongo wenye
maumivu.
vi.
Kutibu Kaswende
na Kisonono :
Ponda
mizizi
ya mti
wa mnyonyo, kisha chemsha
na tumia kunywa
glasi moja mara mbili
kwa siku kwa
muda wa siku
saba.
vii.
Kuondoa Kondo
La Nyuma
:
Mizizi
ya mti wa
mnyonyo ikitafunwa na
mama mjamzito yafaa
kwa kutoa mfuko
wa uzazi ( kondo
la nyuma )
kwa urahisi na
usalama zaidi.
Comments
Post a Comment