MWALIMU
: Ni nani
aliye muua Chief
Mkwawa?
DENTI 1 : Sio mimi! .
DENTI 2
; Wala sihusiki!
DENTI 3
: Kwanza mi
jana sikuja shule.
Mwalimu alivyo
ona wanafunzi wote
majuha, akaamua kumwita mkuu
wa shule aje awaulize
tena.
MWALIMU MKUU : Nyie
watoto semeni nani
kamuua Chief Mkwawa ?
WANAFUNZI WOTE :
Mwalimu hatujui na
wala hatuhusiki!
MWALIMU MKUU
AKAMUITA MWALIMU WA
SOMO PEMBENI NA
KUMUULIZA.
Mwl
Mkuu :
UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO
DARASA HILI KWELI ?
Mwalimu akabaki
hoi!
Comments
Post a Comment