Mkaratusi |
Watu wengi hawajui
kuwa, unga ama vumbi
vumbi la mkaa
linaweza kutumika kama
tiba ya magonjwa
na matatizo mbalimbali
ya kiafya. Fuatana name hadi
mwisho wa makala
haya upate kujua
namna ambavyo unga
wa mkaa unaweza
kutumika kama tiba
ya magonjwa na
matatizo mbalimbali ya
kiafya :
JINSI YA KUUPATA UNGA WA MKAA :
Unga wa Mkaa |
Unaweza kupata unga
wa mkaa kutoka kwenye mti wa
mkuyu, kifuu cha nazi, msonobari au mkaratusi.
Hivyo basi unga
wa mkaa unao
zungumziwa hapa ni
ule unaotokana na
eidha kifuu cha nazi, mti
wa msonobari au
mkaratusi.
MAGONJWA YANAYO TIBIWA
NA UNGA WA
MKAA
Unga wa mkaa
umethibitika kuwa na
uwezo wa kutibu
magonjwa matatizo mbalimbali
kama vile; Kuumwa na nyoka
Kiungulia ,Kusaga chakula, Uvimbe, Kutapika
, Kuhara damu, kuharisha ,Vidonda vya tumbo ,
Macho , Dawa kwa mtu
aliye kunywa sumu
au vitu vyenye
kemikali n.k
JINSI YA
KUTAYARISHA UNGA WA
MKAA WA KIFUU
CHA NAZI, MSONOBARI AU
MKARATUSI.
Choma kifuu cha nazi hadi kiwe kama
mkaa kasha saga kupata unga
unga wake.
Kwa mti wa
msonobari tumia magome yake
kwa kuyachoma hadi
yawe mkaa kasha yasage
kupata unga unga.
MATAYARISHO YA DAWA
Chukua kijiko 1 kikubwa cha mkaa (unga) changanya na maji
safi ya kunywa ya uvuguvugu uwe kama uji uji.
MATUMIZI YA DAWA
Kunywa kikombe kimoja cha mchanganyiko huo kabla ya kula.
MATUMIZI YA DAWA
HII KWA MTU
ALIYE UMWA NA NYOKA :
Shona kifuko cha kitambaa cheupe, chota mkaa kijiko kikubwa,
weka ndani ya kifuko na maji kidogo, funga sehemu iliyoumwa, kisha fungua baada
ya saa1, fungia nyingine hadi ufikapo hospitalini. Pia endelea kumpa dawa hiyo hiyo ya kunywa, iliyokorogwa na kuwa
kama uji mzito baada ya saa1 ufikapo hospitalini sumu yaweza kuwa imekwisha .
MATUMIZI YA DAWA
HII KWA MTU ALIYEKUNYWA SUMU
Kwa mtu aliyekunywa sumu
tumia njia hiyo ya kunywa. Inafaa
kuwa na dawa hii nyumbani mwako kila wakati.
KWA MTU
MWENYE MATATIZO YA
MACHO
Kwa mtu mwenye
matatizo ya macho, weka katika kifuko cha kitambaa kama
hapo juu, fungia au weka kwenye jicho. Funga kwa siku 3 mfululizo wakati wa
usiku.
Kwa maelezo
zaidi, wasiliana nasi kwa
SIMU 0766538384.
GOOD
ReplyDelete