Lorraine Donakey na kichanga chake. |
LIVERPOOL, UINGEREZA.
Mwanamke mmoja, Lorraine Donakey,23, ameshika mimba
baada ya kuwekewa
kiini cha yai
kwenye mfuko wake
wa uzazi.
Donakey ambaye
aliharibu mimba zaidi
ya sita hatimaye amepata
motto wa kike
baada ya kuwekewa
kiini cha yai la
kuku wa
kienyeji.
Lorraine |
“ Kila nilipopata
mimba, nilijua itakua na
nitazaa lakini nimeishia
kununua nguo nyingi
za watoto lakini
mimba zinaishia kuharibika” anasema Donakey.
Kwa maelezo
ya Donakey, mimba ya kwanza iliharibika
akiwa na miaka
17 na aligundua
hali hiyo akiwa
amemaliza mitihani yake
ya sekondari.
Wataalamu wanasema kiini
cha yai ni
dawa ambayo husaidia seli
asilia ambazo zipo ndani
ya miili ya
baadhi ya watu.
Seli hizo
huyaua mayai na
mbegu za uzazi.
Seli hizi
hushambulia mayai ya
uzazi kama kitu
kigeni ndani ya mwili.
Ili kupata dawa
madktari walichanganya mafuta
ya maharage ya
soya, mafuta ya glycerine, kiini cha
yai na maji.
CHANZO : Gazeti La Mwananchi, Toleo Na.4990,Machi 21, 2014.
Comments
Post a Comment