Skip to main content

HIZI NDIO FAIDA ZA KULA CHOCOLATE KWA WANAWAKE.






HIZI  NDIO  FAIDA  ZA  KULA  CHOCOLATE  KWA  WANAWAKE.

1.     KUIMARISHA  AFYA  YA  MOYO :   Kula  chokleti  kunaweza  kupunguza   hatari  ya  kupatwa na  tatizo  la  kushindwa  kwa  moyo, hasa  hasa  kama  wewe  ni  mwanamke   mwenye  umri  mkubwa.
2.   Chokleti nyeusi  ina  viondoa  sumu  viitwavyo                               Flavanoids    ambavyo   husaidia  katika kupunguza  shinikizo  la  damu  na  kolestrol. Vile  vile  vina  imarisha  mtririko  wa  damu  katika  ubongo  na  kwenye  moyo  na  hivyo   kupunguza  hatari  ya  kupatwa  na  tatizo  la  kuganda  kwa  damu.
3.   KUONGEZA  HAMU  YA  TENDO  LA  NDOA :  Ulaji  wa  chokleti  unasadia  kuongeza  hamu  na  ashkhi  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.  Tafiti  mbalimbali  zinaonyesha  kuwa, wanawake  wanao  tumia  chokleti  kila  siku, wanafurahia  tendo  la  ndoa  kuliko  wasio  tumia  chokleti.
4.    KULINDA  NGOZI :   Chokleti nyeusi  ni  nzuri  kwa  afya  ya  ngozi.  Viondoa  sumu  viitwayo  Flavanoids  ambavyo  hupatikana  kwenye  chokleti  nyeusi  husaidia  kuilinda  ngozi  dhidi  ya  madhara  ya ngozi  yasababishwayo  na   mwanga  wa  jua.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...