Skip to main content

JE UNATAFUTA KIWANJA CHA KUWEKEZA JIJINI MWANZA?

Kama unahitaji mojawapo ya viwanja hivi katika maeneo tofauti tafadhari wasiliana kwa simu +255 754 397191 au +255 713 642620 na eleza umependa Kiwanja cha eneo gani ili uweze kupata maelezo ya ziada ikiwa ni pampja na Bei zake.
MabatiniIndustriesSQM4189.jpg

Kiwanja hiki kinao ukubwa wa SQM 4,189 pamoja na uzio wa Ukuta kipo Mabatini eneo la Viwanda, Barabara ya Mwanza-Musoma

KenyattaRoadSQM3800.jpg

Kiwanja hiki kipo katikati ya Jiji la Mwanza eneo la Kenyatta, kina ukubwa wa SQM 3,800

BuzurugaIndustriesSQM2724.jpg

Eneo hili lipo Buzuruga jirani na Kituo cha Mabasi ya Musoma, Nairobi, linao Uzio wa Block na ukubwa wake ni SQM 2,724.

AirportSQM17919.jpg

Kiwanja hiki kipo Barabara ya Airport eneo la Ilemela kina ukubwa wa SQM 17,919 kina miti na nyumba ya Stoo na Ulinzi

NyamhongoroIndustriesBSQM8907.jpg

Kipo eneo la Nyamhongoro karibu na eneo la Kituo kipya cha Maroli, lina ukubwa wa SQM 8,907

SabasabaPPFSQM8400.jpg
Eneo hili ni kubwa na linafaa kwa matumizi ya Shule, Hospital, Hotel ama House Apartment lina ukubwa wa SQM 8,400 lipo barabara ya kwenda PPF KIseke

NyamhongoroIndustriesSQM.jpg
Eneo hili lipo barabara ya Mwanza-Musoma jirani na Eneo la Kuku Powa, ukubwa la kutosha
 
                                                    SOURCE  : MABADILIKO  FORUMS 

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...