Tunda la parachichi
lina faida mbalimbali
katika afya ya
mwili wa mwanadamu.
Wataalamu wa masuala
ya lishe, wana kushauri
ule angalu tunda
moja la parachichi
kila siku.
Hii ni kwa
sababu tunda la
parachichi lina faida
mbalimbali katika kuimarisha
afya ya mwili
wa mwanadamu.
Miongoni mwa faida
hizo ni pamoja
na :
1.
Ku
control kiwango cha
sukari mwilini.
2.
Kuimarisha
afya ya macho.
3.
Kuimarisha
afya ya moyo.
4.
Ku boost
mfumo wa kinga
mwili.
5.
Husaidia
katika kupunguza uzito
wa mwili.
Comments
Post a Comment