Skip to main content

HII NDIO SABABU KWANINI BAADHI YA WATU WANA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ? ( Kukonda na kudhoofu mwili )

 


Kuna idadi kubwa ya watu ambao wana kabiliwa na tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ni jambo linalo weza kuhatarisha afya ya mhusika.



Kama ilivyo kwa suala la kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi, suala la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi pia lina madhara mengi katika afya ya binadamu.



MADHARA YA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, yafuatayo ni madhara ya kiafya yanayo weza kumpata mtu mwenye tatizo la uzito mdogo kupita kiasi.



1. Kupungua na kudhoofika kwa kinga ya mwili

2. Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya mifupa kwa sababu mwili hushindwa kupokea na kutengeneza virutubisho muhimu vinavyo hitajika katika kuimarisha afya ya mifupa

3. Kuwa na nywele zisizo na afya ( Kinyonyoki)

4. Kuwa na ngozi isiyo na afya

5. Kuugua mara kwa mara kutokana na kuwa na kinga dhoofu ya mwili.

6. Watu wenye uzito mdogo kupita kiasi huwachukua muda mrefu kupona hata magonjwa ya kawaida ambayo hupona ndani ya muda mfupi, kwa mfano anaweza akaugua mafua ya kawaida kwa muda wa wiki nzima au Zaidi.

7. Kujisikia uchovu muda mwingi

8. Kupungukiwa damu ambako huweza kusababisha hali kama vile kizungu zungu na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara.

9. Kwa wanawake , tatizo la uzito mdogo kupita kiasi linaweza kuathiri mpangilio wa hedhi ambao unaweza kupelekea matatizo katika uzazi.

10. Na kwa mwanamke mjamzito mwenye tatizo la uzito mdogo kupita kiasi, anaweza kupatwa na tatizo la kujifungua kabla ya wakati yani kabla ya wiki 37.

11. Tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri ukuaji wa watoto. Watoto wadogo wanahitaji kuwa na virutubisho vya kutosha ili waweze kukua na kuongezeka na kuwa na mifupa yenye afya. Ukosefu wa vitu hivyo maana yake ni kwamba mtoto husika hatoweza kukua na kuongezeka vizuri . Vilevile tatizo la uzito mdogo kupita kiasi linaweza kusababisha tatizo la mifupa kwa watoto jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa afya za watoto husika.

12. Tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri mchakato wa uponyaji kwa mtu mwenye tatizo hilo ambae anatumia dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Kwa mfano mtu mwenye tatizo la uzito mdogo kupita kiasi akipata tatizo la kiafya kama vile vidonda vya tumbo, halafu akaanza kutumia dawa kwa ajili ya kutibu tatizo la vidonda , itamchukua muda mrefu kupata nafuu ya tatizo lake kuliko mtu asie na tatizo la uzito mdogo kupita kiasi na hii ni kwa sababu tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri kinga na ufanisi wa mwili.


CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI

( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )



Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu za tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ( Kukonda na kudhoofu mwili )



1. Kuugua magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile vidonda vya tumbo,presha na kisukari.

2. Msongo wa mawazo.

3. Kujinyima kula ( Kufanya diet ngumu ) au kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu. Kukosa hamu ya kula kunaweza kuwa kumesababishwa na eidha kuugua magonjwa na matatizo mbali mbali ya kiafya au kupatwa na tatizo la msongo wa mawazo.

SULUHISHO LA TATIZO LA UZITO MDOGO KUPITA KIASI

( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )

Unaweza kumaliza tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi kwa kuzingatia kula mlo kamili ( Balanced Diet ) au kwa kutumia DAWA ZA ASILI ambazo ni maalumu kwa ajili ya kumaliza tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )

DAWA YA ASILI INAYO MALIZA TATIZO LA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI

( TATIZO LA KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )



Ipo DAWA –LISHE YA ASILI ambayo INATIBU na KUMALIZA kabisa tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ambalo linaenda sambamba na kukonda na kudhoofu mwili. Dawa hii ni ya asili kabisa isiyo na kemikali yoyote ya viwandani na inayo saidia kutibu na kumaliza tatizo hili na kuurudisha mwili katika afya yake ya awali ndani ya siku thelathini.



JINSI YA KUPATA DAWA HII: Jinsi ya kupata dawa hii, fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya JENGO LA UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.



Wasiliana nasi kupitia simu namba 0766 53 83 84

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...