Mdau ameuliza swali hili kupitia mtandao wa
kijamii wa Jamii Forums. Mdau anaendelea
kufunguka zaidi kwa kusema :
Imesemekana kwamba wanaume wanapenda sana
makalio makubwa. Je, ni kweli na kwanini?
Imani maarufu
Inaaminika kuwa wanawake walio na muundo wa mgongo
uliopinda wanaweza kusawazisha uzito wao kwenye viuno wakati wa ujauzito.
Inafaa zaidi wakati wa ujauzito na husababisha majeruhi machache ya mgongo.
Wanaume wanapendelea kuwa na wanawake ambao wana uwezo bora wa kuzaa watoto.
Utafiti wa kisayansi
Utafiti katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin
umeona hivi majuzi kwamba ingawa inafikiriwa kuwa wanaume wanavutiwa sana na
makalio makubwa, wao huvutwa zaidi kuelekea mkunjo wa mgongo unaoonyesha picha
ya kitako chenye umbo zuri.
Utafiti huo ulijumuisha wanaume 100, wenye kati ya
umri wa miaka 17 hadi 34 ambao waliulizwa kukadiria mvuto wa mwanamke kulingana
na mitazamo yao. Kila picha ilikuwa imebadilishwa kwenye uti wa mgongo wa chini
ili kuikunja kwa pembe tofauti. Ilibainika kuwa wanaume walipendelea wakati uti
wa mgongo wa chini wa kijipinda kwa pembe ya digrii 45.
Utafiti kupitia maumbo
tofauti ya kitako
Watafiti walifanya utafiti mwingine ambao ulibaini
kuwa karibu wanaume 200 walivutiwa na wanawake ambao kupindika kwa uti wa
mgongo ulikuwa digrii 45 au karibu na hiyo, bila kujali saizi ya kitako chao.
Hii ilithibitisha kwamba wanaume wanapendelea
wanawake ambao wana pindo maalum la uti wa mgongo, na sio saizi ya kitako chao!
KUTOKA NEEMA HERBALIST BLOG
Uwepo wa idadi kubwa ya wanaume wanao vutiwa
na wanawake wenye makalio makubwa unatajwa kama chanzo kinacho wafanya wanawake
wengi kutumia dawa za kuongeza ukbwa wa makalio.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu,
makalio ya mwanadamu yanaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni (
1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na (
3 ) Mafuta . Vitu vyote hivi vitatu vinafunikwa na ngozi.
Kwa mantiki hiyo basi
,
ukubwa na shape ya makalio ya mtu hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha hapo juu yani uwingi
na ukubwa wa misuli, tishu
pamoja na uwingi wa mafuta
kwenye makalio.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa
mtu anaweza kufanya mazoezi maalumu kwa ajili ya kukuza misuli ya kwenye makalio.
Vile vile inawezekana kwa mtu kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta kwa ajili
ya kuongeza kiasi cha mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo wana
sayansi wana tahadharisha kuwa kula vyakula vyenye mafuta kwa lengo
la kuongeza ukubwa wa makalio
kunaweza pia kusababisha mafuta hayo kwenda katika sehemu zingine za mwili yani mtu kuongezeka
pia katika sehemu mbalimbali za mwilini
mwake kama vile tumbo na kunenepa mwili
mzima.
Jinsi dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinavyo fanya kazi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za kisayansi,
dawa
za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinafanya kazi kwa
kukuza misuli ya kwenye makalio na kuongeza kiwango cha mafuta
kwenye ngozi ya ndani ya makalio.
Katika kuongeza kiwango cha mafuta kwenye makalio,
dawa hizo za asili hufyonza mafuta kutoka katika sehemu
mbalimbali za mwili
na kuyaelekeza kwenye makalio na hivyo kumfanya makalio ya mtumiaji yaongezeke na kuwa makubwa.
Kwa kawaida dawa nyingi za
asili zinazo tumika kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa makalio hutumika
kwa muda wa siku thelathini na huanza kuonyesha
matokeo baada
ya siku kumi na tano.
Kwa maoni na ushauri kuhusu tiba mbalimbali za asili,
fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO
PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766
53 83 84
Na kwa elimu zaidi kuhusu tiba mbalimbali
za asili,
tutembelee kila siku kupitia tovuti yetu
:
www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment