Manzi wa Kibera |
Kipusa
huyo aliyekuja kutambulika zaidi mwaka jana amefichua kuwa alitumia dawa
kuongeza saizi ya makalio yake.
•Dawa
alizokuwa anatumia zilifanya upande mmoja wa makalio yake kuwa mkubwa zaidi
kuliko ule mwingine.
Mwanasoshalaiti maarufukutoka mtaa wa Kibera,
Manzi wa Kibera amekiri kuwa makalio
yake sio ya asili kabisa.
Kipusa huyo aliyekuja kutambulika zaidi
mwaka jana amefichua kuwa alitumia dawa kuongeza saizi ya makalio yake.
"Matako yangu sio
kutoka kwa Mungu ila yametoka kwa daktari. Nilinunua dawa hapa Kenya.
Sijafika bei ya daktari lakini mwezi Novemba nitaenda kufanyiwa upasuaji," Manzi wa Kibera
alisema akiwa kwenye mahojiana na Mpasho.
Manzi wa Kibera alifichua kwamba hapo
awali dawa alizokuwa akitumia zilifanya upande mmoja wa makalio yake kuwa
mkubwa zaidi kuliko ule mwingine.
"Niling'ang'ana.
Nikafanya kazi na nikafanya zitoshane.." Alisema huku
akionyesha umbo wa makalio yake wa kumezewa mate.
CHANZO : www.radiojambo.co.ke
Manzi wa Kibera |
KUTOKA NEEMA HERBALIST BLOG
Uwepo wa idadi kubwa ya wanaume wanao vutiwa
na wanawake wenye makalio makubwa unatajwa kama chanzo kinacho wafanya wanawake
wengi kutumia dawa za kuongeza ukbwa wa makalio.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu,
makalio ya mwanadamu yanaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni (
1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na (
3 ) Mafuta . Vitu vyote hivi vitatu vinafunikwa na ngozi.
Kwa mantiki hiyo basi
,
ukubwa na shape ya makalio ya mtu hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha hapo juu yani uwingi
na ukubwa wa misuli, tishu
pamoja na uwingi wa mafuta
kwenye makalio.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa
mtu anaweza kufanya mazoezi maalumu kwa ajili ya kukuza misuli ya kwenye makalio.
Vile vile inawezekana kwa mtu kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta kwa ajili
ya kuongeza kiasi cha mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo wana
sayansi wana tahadharisha kuwa kula vyakula vyenye mafuta kwa lengo
la kuongeza ukubwa wa makalio
kunaweza pia kusababisha mafuta hayo kwenda katika sehemu zingine za mwili yani mtu kuongezeka
pia katika sehemu mbalimbali za mwilini
mwake kama vile tumbo na kunenepa mwili
mzima.
Jinsi dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinavyo fanya kazi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za kisayansi,
dawa
za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinafanya kazi kwa
kukuza misuli ya kwenye makalio na kuongeza kiwango cha mafuta
kwenye ngozi ya ndani ya makalio.
Katika kuongeza kiwango cha mafuta kwenye makalio,
dawa hizo za asili hufyonza mafuta kutoka katika sehemu
mbalimbali za mwili
na kuyaelekeza kwenye makalio na hivyo kumfanya makalio ya mtumiaji yaongezeke na kuwa makubwa.
Kwa kawaida dawa nyingi za
asili zinazo tumika kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa makalio hutumika
kwa muda wa siku thelathini na huanza kuonyesha
matokeo baada
ya siku kumi na tano.
Kwa maoni na ushauri kuhusu tiba mbalimbali za asili,
fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO
PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766
53 83 84
Na kwa elimu zaidi kuhusu tiba mbalimbali
za asili,
tutembelee kila siku kupitia tovuti yetu
:
www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment