KWANINI BAADHI YA WATU WANA UZITO MDOGO KUPITA
KIASI ? ( Kukonda na kudhoofu mwili )
Kuna idadi kubwa ya watu ambao wana kabiliwa na
tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa
na uzito mdogo kupita kiasi ni jambo linalo weza kuhatarisha afya ya mhusika.
Kama ilivyo kwa suala la kuwa na uzito mkubwa
kupita kiasi, suala la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi pia lina madhara mengi
katika afya ya binadamu.
MADHARA YA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI (
KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu,
yafuatayo ni madhara ya kiafya yanayo weza kumpata mtu mwenye tatizo la uzito
mdogo kupita kiasi.
1. Kupungua na kudhoofika kwa kinga ya mwili
2. Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa
ya mifupa kwa sababu mwili hushindwa kupokea na kutengeneza virutubisho muhimu
vinavyo hitajika katika kuimarisha afya ya mifupa
3. Kuwa na nywele zisizo na afya ( Kinyonyoki)
4. Kuwa na ngozi isiyo na afya
5. Kuugua mara kwa mara kutokana na kuwa na kinga
dhoofu ya mwili.
6. Watu wenye uzito mdogo kupita kiasi huwachukua muda
mrefu kupona hata magonjwa ya kawaida ambayo hupona ndani ya muda mfupi, kwa
mfano anaweza akaugua mafua ya kawaida kwa muda wa wiki nzima au Zaidi.
7. Kujisikia uchovu muda mwingi
8. Kupungukiwa damu ambako huweza kusababisha hali
kama vile kizungu zungu na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara.
9. Kwa wanawake , tatizo la uzito mdogo kupita
kiasi linaweza kuathiri mpangilio wa hedhi ambao unaweza kupelekea matatizo
katika uzazi.
10. Na kwa mwanamke mjamzito mwenye tatizo la
uzito mdogo kupita kiasi, anaweza kupatwa na tatizo la kujifungua kabla ya
wakati yani kabla ya wiki 37.
11. Tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri
ukuaji wa watoto. Watoto wadogo wanahitaji kuwa na virutubisho vya kutosha ili
waweze kukua na kuongezeka na kuwa na mifupa yenye afya. Ukosefu wa vitu hivyo
maana yake ni kwamba mtoto husika hatoweza kukua na kuongezeka vizuri .
Vilevile tatizo la uzito mdogo kupita kiasi linaweza kusababisha tatizo la
mifupa kwa watoto jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa afya za watoto husika.
12. Tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri
mchakato wa uponyaji kwa mtu mwenye tatizo hilo ambae anatumia dawa kwa ajili
ya kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Kwa mfano mtu mwenye
tatizo la uzito mdogo kupita kiasi akipata tatizo la kiafya kama vile vidonda
vya tumbo, halafu akaanza kutumia dawa kwa ajili ya kutibu tatizo la vidonda ,
itamchukua muda mrefu kupata nafuu ya tatizo lake kuliko mtu asie na tatizo la
uzito mdogo kupita kiasi na hii ni kwa sababu tatizo la uzito mdogo kupita
kiasi huathiri kinga na ufanisi wa mwili.
CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA
KIASI
( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu,
zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu za tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi
( Kukonda na kudhoofu mwili )
1. Kuugua magonjwa na matatizo mbalimbali ya
kiafya kama vile vidonda vya tumbo,presha na kisukari.
2. Msongo wa mawazo.
3. Kujinyima kula ( Kufanya diet ngumu ) au kukosa
hamu ya kula kwa muda mrefu. Kukosa hamu ya kula kunaweza kuwa kumesababishwa
na eidha kuugua magonjwa na matatizo mbali mbali ya kiafya au kupatwa na tatizo
la msongo wa mawazo.
SULUHISHO LA TATIZO LA UZITO MDOGO KUPITA KIASI
( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Unaweza kumaliza tatizo la kuwa na uzito mdogo
kupita kiasi kwa kuzingatia kula mlo kamili ( Balanced Diet ) au kwa kutumia
DAWA ZA ASILI ambazo ni maalumu kwa ajili ya kumaliza tatizo la kuwa na uzito
mdogo kupita kiasi ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
DAWA YA ASILI INAYO MALIZA TATIZO LA KUWA NA UZITO
MDOGO KUPITA KIASI
( TATIZO LA KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Ipo DAWA –LISHE YA ASILI ambayo INATIBU na
KUMALIZA kabisa tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ambalo linaenda
sambamba na kukonda na kudhoofu mwili. Dawa hii ni ya asili kabisa isiyo na
kemikali yoyote ya viwandani na inayo saidia kutibu na kumaliza tatizo hili na
kuurudisha mwili katika afya yake ya awali ndani ya siku thelathini.
JINSI YA KUPATA DAWA HII: Jinsi ya kupata dawa
hii, fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana
UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya JENGO LA UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA
MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Wasiliana nasi kupitia simu namba 0766 53 83 84
Comments
Post a Comment