Kupitia
mtandao wa kijamii,
mdau ameuliza hivi kwanini wanawake wengi siku hizi wana
makalio makubwa tofauti na ilivyokuwa zamani ?
Nanukuu maneno
ya mdau kama ifuatavyo “ Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10
unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya
mafanikio? English figure zinaanza kupotea”
Mdau mwingine na yeye
ameuliza swali kama hilo hilo kupitia mtandao huo huo wa kijamii. Yeye anahoji
“ Ni macho yangu au na wengine mnaona hivyo? Wanawake
wa siku hizi wana makalio makubwa sana “ anaendelea zaidi kwa kusema
“ Wakuu habari zenu. Nimekuwa nikichunguza sana nimegundua wanawake wa
miaka ya sasa si mjini au kijijini, wengi wao wana makalio makubwa tofauti na
enzi tunakua sisi.Ujue miaka ya hapo nyuma wanawake wenye makalio
walikuwa wachache ndiyo maana yalikuwa yanaonekana dili na wanaume
wanayashobokea. Ila miaka ya hivi karibuni naona wanawake karibu
wote kuanzia wembamba kwa wanene wote Wana Makalio Makubwa.Sasa hapa
wanatengeneza shepu au kuna vitu wanatumia? Nauliza ni macho yangu au na
nyie mnaona hivyo hivyo? “
Maoni mchanganyiko yalitolewa.
Wadau wengine walisema ni kwa sababu ya aina ya uvaaji wa wanawake wa kisasa
ambayo ni tofauti na ilivyo kuwa miaka ya nyuma huku wengine
wakisema ni kwa sababu wengi wao wanatumia dawa za
kuongeza makalio. “ Unajua zamani wanawake wengi walikuwa
wanavaa mavazi ya kujisitiri ndio maana ilikuwa ni vigumu kujua kama wana
makalio makubwa au laah. Wachache walio kuwa wanavaa mavazi yasiyo ya stara
ndio walio kuwa wanaonekana kuwa na makalio makubwa” alisema mdau
mmoja. Hata hivyo hoja hii ilipingwa vikali na wachangiaji wengi. “
Ndugu, wanawake wa siku hizi hata akivaa mavazi ya kujisitiri lakini
bado ukubwa wa maumbile yao huonekana” alisema mdau mmoja. Hoja ya
mdau huyu iliungwa na wadau wengi. Akichangia hoja hii, mmoja kati ya wadau
walio unga hoja hii alisema “ Siku hizi wanawake wengi
wanatumia dawa za kuongeza makalio ndio maana huko mitaani karibu
kila mwanamke anaonekana kuwa na makalio. Siku hizi imekuwa ni jambo
rahisi sana kwa mwanamke kuwa na makalio makubwa tofauti na ilivyo kuwa zamani
kwa sababu siku hizi dawa za kuongeza makalio
zinapatikana kwa urahisi tofauti na ilivyo kuwa zamani.”
KUTOKA
NEEMA HERBALIST BLOG
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu,
makalio ya mwanadamu yanaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni (
1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na (
3 ) Mafuta . Vitu vyote hivi vitatu vinafunikwa na ngozi.
Kwa mantiki hiyo basi
,
ukubwa na shape ya makalio ya mtu hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha hapo juu yani uwingi
na ukubwa wa misuli, tishu
pamoja na uwingi wa mafuta
kwenye makalio.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa
mtu anaweza kufanya mazoezi maalumu kwa ajili ya kukuza misuli ya kwenye makalio.
Vile vile inawezekana kwa mtu kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta kwa ajili
ya kuongeza kiasi cha mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo wana
sayansi wana tahadharisha kuwa kula vyakula vyenye mafuta kwa lengo
la kuongeza ukubwa wa makalio
kunaweza pia kusababisha mafuta hayo kwenda katika sehemu zingine za mwili yani mtu kuongezeka
pia katika sehemu mbalimbali za mwilini
mwake kama vile tumbo na kunenepa mwili
mzima.
Jinsi dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinavyo fanya kazi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za kisayansi,
dawa
za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinafanya kazi kwa
kukuza misuli ya kwenye makalio na kuongeza kiwango cha mafuta
kwenye ngozi ya ndani ya makalio.
Katika kuongeza kiwango cha mafuta kwenye makalio,
dawa hizo za asili hufyonza mafuta kutoka katika sehemu
mbalimbali za mwili
na kuyaelekeza kwenye makalio na hivyo kumfanya makalio ya mtumiaji yaongezeke na kuwa makubwa.
Kwa kawaida dawa nyingi za
asili zinazo tumika kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa makalio hutumika
kwa muda wa siku thelathini na huanza kuonyesha
matokeo baada
ya siku kumi na tano.
Kwa maoni na ushauri kuhusu tiba mbalimbali za asili,
fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO
PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766
53 83 84
Na kwa elimu zaidi kuhusu tiba mbalimbali
za asili,
tutembelee kila siku kupitia tovuti yetu
:
www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment