Mdau
kauliza swali hilo kupitia mtandao wa kijamii wa Jamii Forums. Katika maelezo yake, mdau anafunguka Zaidi kama
ifuatavyo :
Ulishawahi kujiuliza labda ndani ya 60s, 70s,
80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa
ya wanawake kama ilivyo sasa?
Je, wanawake pia waliweza kujitukuza kwa kuwa wana
makalio makubwa? Au wanawake wamejitukuza baada ya wanaume kuanza kutukuza haya
makalio makubwa?
Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo
ya kumvutia mwanaume tangu enzi? Mtu anaweza kutoa hoja kuwa kipindi kile
hawakuepo, namaanisha uzao wa wanawake wenye makalio makubwa haukuwepo kipindi
kama ilivyo sasa.
Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja:
"Unajua kipindi kile wanawake
walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hiyo makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi
wazi."
Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya kidini, je,
kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza nafasi kubwa katika
urembo wake? Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura
alimvutia Mfalme au mwana Mfalme.
Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za ki Afrika,
je, kuna andiko lilionesha makalio yalicheza nafasi kubwa katika matanio ya
wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamani?
Kwahiyo nini hasa kilitokea kwetu wanaume, ambapo
sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada?
1. Je, ni ushawishi wa video za ngono?
2. Je, ni mageuzi juu ya wanadamu yaliyoleta
mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya?
3. Je, ni mtindo mpya wa nguo za kubana
zilizokuza obsession hii?
4. Je, ni Shetani na ushawishi wa kiroho juu ya
wanadamu?
Karibuni kwa michango mbali mbali
KUTOKA NEEMA HERBALIST BLOG
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu,
makalio ya mwanadamu yanaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni (
1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na (
3 ) Mafuta . Vitu vyote hivi vitatu vinafunikwa na ngozi.
Kwa mantiki hiyo basi
,
ukubwa na shape ya makalio ya mtu hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha hapo juu yani uwingi
na ukubwa wa misuli, tishu
pamoja na uwingi wa mafuta
kwenye makalio.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa
mtu anaweza kufanya mazoezi maalumu kwa ajili ya kukuza misuli ya kwenye makalio.
Vile vile inawezekana kwa mtu kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta kwa ajili
ya kuongeza kiasi cha mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo wana
sayansi wana tahadharisha kuwa kula vyakula vyenye mafuta kwa lengo
la kuongeza ukubwa wa makalio
kunaweza pia kusababisha mafuta hayo kwenda katika sehemu zingine za mwili yani mtu kuongezeka
pia katika sehemu mbalimbali za mwilini
mwake kama vile tumbo na kunenepa mwili
mzima.
Jinsi dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinavyo fanya kazi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za kisayansi,
dawa
za asili za kuongeza ukubwa wa makalio zinafanya kazi kwa
kukuza misuli ya kwenye makalio na kuongeza kiwango cha mafuta
kwenye ngozi ya ndani ya makalio.
Katika kuongeza kiwango cha mafuta kwenye makalio,
dawa hizo za asili hufyonza mafuta kutoka katika sehemu
mbalimbali za mwili
na kuyaelekeza kwenye makalio na hivyo kumfanya makalio ya mtumiaji yaongezeke na kuwa makubwa.
Kwa kawaida dawa nyingi za
asili zinazo tumika kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa makalio hutumika
kwa muda wa siku thelathini na huanza kuonyesha
matokeo baada
ya siku kumi na tano.
Kwa maoni na ushauri kuhusu tiba mbalimbali za asili,
fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO
PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766
53 83 84
Na kwa elimu zaidi kuhusu tiba mbalimbali
za asili,
tutembelee kila siku kupitia tovuti yetu
:
Comments
Post a Comment