Jina langu naitwa Aziza Hassan, umri wangu miaka 30. Naishi Chamazi jijini Dar Es Salaam. Nimepata mafunzo kutoka NEEMA HERBALIST kuhusu jinsi ya kupika lishe maalumu kwa watu wenye mahitaji mbalimbali ya kiafya kama vile : Kitambi, uzito na unene ulio zidi, vidonda vya tumbo, Kukonda na kudhoofika mwili kupita kiasi.
Natafuta kazi ya upishi kwenye mgahawa kwenye ofisi au kwenye hoteli. Naweza pia kufanya kazi nyumbani kwa mtu kwa makubaliano maalumu ila iwe kwa utaratibu wa kwenda na kurudi.
...............
Kwa wewe unae hitaji huduma ya Aziza, tuandikie kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemaherbalist@gmail.com.
.........
Na kwa wewe unae hitaji dawa ya asili kwa ajili ya matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile :
1. Tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
2. Tatizo la kitambi, unene na uzito ulio zidi.
3. Tatizo la kupungua mwili na uzito kupita kiasi.
4. Tatizo la sukari.
5. Tatizo la vidonda vya tumbo.
6. Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
7. Tatizo la kupoteza kumbukumbu nakadhalika.
Wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu :
0766 - 53 83 84 au 0693 -005 189.
Au WHATSAPP: 0745 - 433 595.
Dawa zetu zote z inakuja pamoja na lishe yake maalumu.
Tunapatikana Chanika ( zamani tulikuwa Ubungo)
Kwa wewe mteja wetu ulie jijini Dar Es Salaam lakini hauna nafasi ya kufika ofisini kwetu tunayo huduma ya kukuletea dawa mahali popote ulipo ndani ya Dar Es Salaam ( Delivery)
Na kwa wewe ulie nje ya mkoa wa Dar Es Salaami, tunakutumia dawa kwa njia ya usafiri wa bus au boti kama upo Zanzibar.
Comments
Post a Comment